Kufanya siku hizi kuwa za kupiga kura inaleta inconvenience kwa waumini wanaosali siku husika.
Napendekeza kuwa iwe siku ya kawaida ya katikati ya juma ambayo itafanywa siku ya mapumziko ili watu wote wawe huru kwa ajili ya shughuli maalumu ya kuamua kuhusu hatima ya nchi yao. Iwe ni kura za maoni, uchaguzi mkuu au serikali za mitaa.
Nawasilisha.