Siku za kupiga kura zisiwe IJUMAA, JUMAMOSI AU JUMAPILI

Me kama mwana ukawa ninapendekeza ibaki vile vile mleta uzi ni ccm na lengo lake kama kija mwelewa nisiye ogwa viroba nimegundua ameingia kwa mlango wa nyuma kuleta yale mambo ya dini ambayo yalikuwa ni mlango wa ccm kutokea kwenye tundu la sindano
 
Kufanya siku hizi kuwa za kupiga kura inaleta inconvenience kwa waumini wanaosali siku husika.
Napendekeza kuwa iwe siku ya kawaida ya katikati ya juma ambayo itafanywa siku ya mapumziko ili watu wote wawe huru kwa ajili ya shughuli maalumu ya kuamua kuhusu hatima ya nchi yao. Iwe ni kura za maoni, uchaguzi mkuu au serikali za mitaa.
Nawasilisha.

Hatuja ona adhari yoyote mambo yamekwenda kama mlivyo gawana pesa kwenye rumbesa na viroba na sisi tumegawana mitaaa hatukubali mbinu yoyote yenye harufu ya udini endeleyeni kugawana escrow tutakutana mbele kwa mbele mwakani
 
Tunaanza kuyaona MAKUCHA YENU WAKRISTO.

Kumbe Nyie Nia yenu na MIPANGO YENU NI Kuwapigia Kura watu Kwa sababu WAO NI WAKRISTO TU!! Bila kujali Utendaji wao au Elimu zao Sio?

Tunaendelea Kuwasoma Pole pole.

Naionea Huruma Nchi yangu maskini.

Nyie ndio mtakayo igeuza nchi hii kuwa kama RWANDA.

Waislamu Mnaona WAKRISTO wanavyosema?

Sasa Akili kichwani mwenu Ifikapo 2015.

Mkuu hamta tutowa nje ya reli mwendo mdondo kura tutapinga mda wowote nyiye endeleyeni kugawana kwenye rumbesa sisi tuna gawana mitaa tutakutana mbele kwa mbele 2015 ccm hamta tuambia kitu kuhusu udini tena hatuta wapa nafasi ya kutudanganya mara mbili
 
Kufanya siku hizi kuwa za kupiga kura inaleta inconvenience kwa waumini wanaosali siku husika.
Napendekeza kuwa iwe siku ya kawaida ya katikati ya juma ambayo itafanywa siku ya mapumziko ili watu wote wawe huru kwa ajili ya shughuli maalumu ya kuamua kuhusu hatima ya nchi yao. Iwe ni kura za maoni, uchaguzi mkuu au serikali za mitaa.
Nawasilisha.

Kuna kaukweli fulani japo kiduchu sana. Iko hivi, tukio la kupiga kura uchaguzi mkuu ni la mara moja (1 to 2 hrs) kwa miaka mitano. Uchaguzi Mkuu ni tukio ambalo wananchi kwa niaba ya Mungu huweka mamlaka kuu ya nchi. Ni tukio ambalo wananchi wanaenda kuamua hatima yao kwa miaka mitano (japo imezoeleka ni 10) ijayo.

Ni mwananchi wa ajabu tu asiyejua maana ya tukio hili, asiyejali, au wakati wengine wamepanga misururu ya kura yeye yuko kijiweni au baa. Umuhimu wa tukio hili ni mkubwa pengine sawa sawa na ibada. Mungu amesema zitiini mamlaka kwani zimewekwa na yeye (kupitia wananchi kwenye chaguzi).

Well, sisemi tuache ibada lakini kama ingenilazimu kuchagua moja kati ya hayo mawili, uchaguzi mkuu ni muhimu zaidi. Ni ibada gani mwananchi (hata asiyekuwa na dini) amepewa kibali cha kufanya kwa niaba ya Mungu? Ni kwenye chaguzi peke yake. Tuache longolongo au visingizio, iwe mvua, liwe jua; twendeni tukachague!
 
Naunga mkono hoja kwa 100%. Several times nimeshindwa kupiga kura kwa sababu ya kuwa bussy na kazi ya Mungu hii siku. Kura ni haki ya raia yeyote anayekidhi vigezo vya kupiga kura. Ni lazima tuangalie namna ya kuondoa vikwazo vyote vinavyomzuia mtu kupiga kura, hili la siku za ibada likiwa mojawapo.

Pili, ni issue ya mtu kulazimika kupiga kura pale pale alipojiandikisha, this ia illogical. Mfano, mimi ni mwnfz niko UDOM wakati wa kujiandikisha, wakati wa kura niko home huko Nachingwea. Wabunge wote hawa(Dodoma & Nachingwea) wananihusu hivyo nina haki ya kuwapigia kura. Basi kama issue ni Ubunge na Udiwani kuwa maeneo tofauti. Hoja ya kutomchagua Rais wakati Dodoma & Nachingwea Rais ni huyo huyo ni nini?
 
Mkuu hamta tutowa nje ya reli mwendo mdondo kura tutapinga mda wowote nyiye endeleyeni kugawana kwenye rumbesa sisi tuna gawana mitaa tutakutana mbele kwa mbele 2015 ccm hamta tuambia kitu kuhusu udini tena hatuta wapa nafasi ya kutudanganya mara mbili

Halafu we lzm utakuwa MUHA tu!

Usije sema mi mchawi .

Lafudhi mbovu mpaka kwenye vidole? Dah..
Unakaza maneno ka fundi vintanda vya spring.

Teh teh teh!
 
Back
Top Bottom