Siku ya wapenda nao

Siku ya wapenda nao

Mwaka jana sikuona mrejesho wa watu kama walienda maana wadada wa kibongo wanavyopenda sifa tungeona tu insta,wakilala ramada tu watapiga picha wamevaa zile robe zenye nembo ya hotel


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Account ya bebi kwanza haina hata kumi.
Hela zikiingia anazielekeza kwenye real estate.
Sina haja ya kumuuliza jibu ni Hatutaenda Mimi na yeye. Nina uhakika hata mchepuko hautapelekwa.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hahahahhahahahha! That will be a special day lakini! Ila baby wako must be genius, anafanya real estates?? Usimuache huyo aiseeee
 
[emoji23][emoji23]hatupendeki...kuna siku uliwaj sema unampenda mwanamke ila km unahis hapendeki[emoji23][emoji23]ndo kina sie[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]add me to the list plz

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Back
Top Bottom