Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
😊😊😊nifikirie mkuu...nitavaa vzr tu kwakweli ...nimeshonesha tenge zuri hatari
hahaha alafu bora na demu ainjoy...ukute ht kukojoa asikojoe[emoji23][emoji23]..au na ww men upate ile vibes ..the great one..holaa
Aiseeeee kuna dogo kule anakuita, hebu nenda umsikilize jamani mbona mnawafanyia watu hivi??😂😂😂 mkuu hyo ni package ya aina gan..
Star times ya antenna ndicho king'amuzi ninachokiweza maana local channel ni bure[emoji23][emoji23][emoji23]warushe hata TBC jamanihahahahahahaha mbona startimes[emoji23][emoji23]
khaaa hii ht dstv watagwaya kurusha
Kipande kirefu hicho ujueMtu aweke package nzuri hata znz angalau isizidi 3m atapata wateja wengi tu..22m usawa huu hata nikipewa nikalipie sitokubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui TBC watarushaHii inapatikana kwenye zile channel za bure za Star times kweli!? Hii mbona kama ya redio jamani?
Wasitufanyie hivo
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Aiseeeee kuna dogo kule anakuita, hebu nenda umsikilize jamani mbona mnawafanyia watu hivi??
Wakitoa hilo tangazo unishtue nami niangalie hiyo channel that day pleaseTena watuambie na wanarusha channel gani[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Account ya bebi kwanza haina hata kumi.I am sure wamekosea!!!! Hahahahahahha, baby wako anasemaje??? mnaenda??
Tenge?? Utamwaibisha mwenzako bora ubaki ufuatilie matangazo ya moja kwa moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4]nifikirie mkuu...nitavaa vzr tu kwakweli ...nimeshonesha tenge zuri hatari
Ewaaaaaaaah I wish
@manengelo unaanza kuniangusha mapema hivi! Sio siku ya vitenge hiyo jaman ...don't let me down again[emoji4][emoji4][emoji4]nifikirie mkuu...nitavaa vzr tu kwakweli ...nimeshonesha tenge zuri hatari
Ina maana na wewe huendi?Wakitoa hilo tangazo unishtue nami niangalie hiyo channel that day please
HahahahahhahahahahahahahaahhaNimecheka eti enjiniaaaaaaaaaaaa soma hiyoooooooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
sisi mtutumie japo vipicha tu😊😊😊nifikirie mkuu...nitavaa vzr tu kwakweli ...nimeshonesha tenge zuri hatari
Usijali tutashusha Uzi hapa yatakayo jiri hukoMillion 22.4 [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Mtakaoenda mtuletee mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
sisi mtutumie japo vipicha tu