Siku ya wapenda nao

Siku ya wapenda nao

Kama ungekua unajua kinachojiri ukifika ungenipa hata hints tu.. Na hiyo valentine ya more than 20mill sio ya kwanza. Mwaka jana ilikuwepo kwa 22.4 mill
Na haikai kama party bana.. Ni room special wanakabidhiwa couple na mazagazaga kibao ikiwemo dinning..

Kalale

Sent using Jamii Forums mobile app
Twende basi kwasababu ni per couple na ww ushajitokeza kama hivi mambo yatakua mukide

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona sehemu wanatangaza ticket za bure kwa couple 3 watakaoweza kujibu maswali yao kuanzia kesho saa 5 watakuwa live instagram
 
Back
Top Bottom