Siku ya tarehe 17 Februari ntatoa roho yangu sadaka katika uchaguzi wa Kinondoni

wadau: Mimi kijana mpenda Amani ...Lakini ..Siku Ya tarehe...17/2...endapo ccm na police ...wakiamua kufanya vurugu ...basi ...wajue kuwa ...Mimi..roho..yangu ntaitoa Sadaka...kuakikisha Salumu Mwalimu anapata Ubunge...katika jimbo la kinondoni.

Kama ikitokea wameniua Mjue ntakuwa nimeacha mke mmoja ambaye nimjazito...na ...mtoto ..wangu akizaliwa Jina Itabidi aitwe...Mbowe...au akiwa wakike jina aitwe Halima.



I wish you all the best.
Hongera sana kamanda,na wale wanaoweza kutengeneza mabomu hata ya petrol,tutengeneze,polisi wakifyatua na sisi tufyatuwe.
 
Haya mambo si yakudharau, watawala wanapaswa kuwa makini. Tawala nyingi duniani zilianguka kwa kufanya udhalimu. Wananchi huwa wakichoka hakuna wakuwazuia. This is a wake up call.
 
Haya mambo si yakudharau, watawala wanapaswa kuwa makini. Tawala nyingi duniani zilianguka kwa kufanya udhalimu. Wananchi huwa wakichoka hakuna wakuwazuia. This is a wake up call.
Hizo Ngonjera peleka kwenye mahafali
 
Hizo Ngonjera peleka kwenye mahafali
Yuko wapi Muammar Gaddafi na Hosni Mubarak? Hivi kuna viongozi walishawahi kuwa na nguvu au kuogopewa kama hawa? Kijana acha ushabiki maandazi, wanachi wakiamua hao unaowaona ni viongozi watakua vingozi
 
Police Wanaudhi sana jamani
f37cd71ad62a643c09b07440ce90eb38.jpg
 
Back
Top Bottom