Siku ya tarehe 17 Februari ntatoa roho yangu sadaka katika uchaguzi wa Kinondoni

wadau: Mimi kijana mpenda Amani ...Lakini ..Siku Ya tarehe...17/2...endapo ccm na police ...wakiamua kufanya vurugu ...basi ...wajue kuwa ...Mimi..roho..yangu ntaitoa Sadaka...kuakikisha Salumu Mwalimu anapata Ubunge...katika jimbo la kinondoni.

Kama ikitokea wameniua Mjue ntakuwa nimeacha mke mmoja ambaye nimjazito...na ...mtoto ..wangu akizaliwa Jina Itabidi aitwe...Mbowe...au akiwa wakike jina aitwe Halima.

I wish you all the best.
Mkwala mbuzi
 
Ngojja nitoe salamu zangu in advance kwako mapema.Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi
 
wadau: Mimi kijana mpenda Amani ...Lakini ..Siku Ya tarehe...17/2...endapo ccm na police ...wakiamua kufanya vurugu ...basi ...wajue kuwa ...Mimi..roho..yangu ntaitoa Sadaka...kuakikisha Salumu Mwalimu anapata Ubunge...katika jimbo la kinondoni.

Kama ikitokea wameniua Mjue ntakuwa nimeacha mke mmoja ambaye nimjazito...na ...mtoto ..wangu akizaliwa Jina Itabidi aitwe...Mbowe...au akiwa wakike jina aitwe Halima.

I wish you all the best.
Kamanda umeshatoa roho?
 
Tupe mrejesho umeshaitoa roho yako sadaka au imegoma kutolewa sadaka
 
Picha ya mkeo plz, nianze kufanya booking. Mtoto usijali atalelewa. Nakutakia sadaka njema tena iwe kama ile ya wahenga, "Ya Kuteketezwa"

....Kamanda kwani ulikufwa? Nataka niendelee na mpango mkakati wangu....
.... maandiko yalitimia?....
 
wadau: Mimi kijana mpenda Amani ...Lakini ..Siku Ya tarehe...17/2...endapo ccm na police ...wakiamua kufanya vurugu ...basi ...wajue kuwa ...Mimi..roho..yangu ntaitoa Sadaka...kuakikisha Salumu Mwalimu anapata Ubunge...katika jimbo la kinondoni.

Kama ikitokea wameniua Mjue ntakuwa nimeacha mke mmoja ambaye nimjazito...na ...mtoto ..wangu akizaliwa Jina Itabidi aitwe...Mbowe...au akiwa wakike jina aitwe Halima.

I wish you all the best.

Hahahahahahhaahha
 
Back
Top Bottom