Siku ya tarehe 17 Februari ntatoa roho yangu sadaka katika uchaguzi wa Kinondoni

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,899
45,310
wadau: Mimi kijana mpenda Amani ...Lakini ..Siku Ya tarehe...17/2...endapo ccm na police ...wakiamua kufanya vurugu ...basi ...wajue kuwa ...Mimi..roho..yangu ntaitoa Sadaka...kuakikisha Salumu Mwalimu anapata Ubunge...katika jimbo la kinondoni.

Kama ikitokea wameniua Mjue ntakuwa nimeacha mke mmoja ambaye nimjazito...na ...mtoto ..wangu akizaliwa Jina Itabidi aitwe...Mbowe...au akiwa wakike jina aitwe Halima.

I wish you all the best.
 
Mkuu unajitabiria kifo, utakipata tu mkuu tena mapema sana
 
wadau: Mimi kijana mpenda Amani ...Lakini ..Siku Ya tarehe...17/2...endapo ccm na police ...wakiamua kufanya vurugu ...basi ...wajue kuwa ...Mimi..roho..yangu ntaitoa Sadaka...kuakikisha Salumu Mwalimu anapata Ubunge...katika jimbo la kinondoni.

Kama ikitokea wameniua Mjue ntakuwa nimeacha mke mmoja ambaye nimjazito...na ...mtoto ..wangu akizaliwa Jina Itabidi aitwe...Mbowe...au akiwa wakike jina aitwe Halima.

I wish you all the best.
Duh...... Hii kali, inaonyesha namna gani watu wamechoshwa na NEC na Polisi kutuchagulia wawakilishi wetu!
 
wadau: Mimi kijana mpenda Amani ...Lakini ..Siku Ya tarehe...17/2...endapo ccm na police ...wakiamua kufanya vurugu ...basi ...wajue kuwa ...Mimi..roho..yangu ntaitoa Sadaka...kuakikisha Salumu Mwalimu anapata Ubunge...katika jimbo la kinondoni.

Kama ikitokea wameniua Mjue ntakuwa nimeacha mke mmoja ambaye nimjazito...na ...mtoto ..wangu akizaliwa Jina Itabidi aitwe...Mbowe...au akiwa wakike jina aitwe Halima.

I wish you all the best.
Huna lolote wewe kibwengo.
 
Picha ya mkeo plz, nianze kufanya booking. Mtoto usijali atalelewa. Nakutakia sadaka njema tena iwe kama ile ya wahenga, "Ya Kuteketezwa"

....Kamanda kwani ulikufwa? Nataka niendelee na mpango mkakati wangu....
 
wadau: Mimi kijana mpenda Amani ...Lakini ..Siku Ya tarehe...17/2...endapo ccm na police ...wakiamua kufanya vurugu ...basi ...wajue kuwa ...Mimi..roho..yangu ntaitoa Sadaka...kuakikisha Salumu Mwalimu anapata Ubunge...katika jimbo la kinondoni.

Kama ikitokea wameniua Mjue ntakuwa nimeacha mke mmoja ambaye nimjazito...na ...mtoto ..wangu akizaliwa Jina Itabidi aitwe...Mbowe...au akiwa wakike jina aitwe Halima.

I wish you all the best.
Akiwa wa kiume ataitwa Mutambowe au Rutambowe pia Tibambowe. Wakike atakuwa Kokuhalima. Mbona hukusema mke wako ampe visisi (Ebisisi) nani?
 
Ccm munaaibisha. Kununua kura, kuhonga, kuumiza watu hata kuua kwa ajili ya kura ni aibu kubwa kwa chama kubwa kama ccm. Wananchi wake up!
 
Back
Top Bottom