Siku ya Sheria: Rais Magufuli azindua Mahakama inayotembea, Mfumo wa kieletroniki wa kuratibu mashauri! Asema uongozi wake hauingilii Mihimili mingine

mfumo huu wa kielectroniki umeanza kufanyakazi ambapo kazi yake ni kusimamia shauri na kurahisisha mambo mbalimbali kama usimamizi wa shauri kielektriniki mfano, kufungua shauri, kuitwa shaurini na kupata taarifa za shauri kwa njia ya sms na inarahisisha wananchi kuweza kusoma hukumu ambazo zinakua zimetolewa

hii ni katika harakati ya kuimarika kwa TEHAMA ambapo pia umewekwa mfumo wa kusajili mawakili unaojulikana kama TAMSI
 
MAHAKAMA ZIHISHIMIWE NA MHIMILI WOTE HATA ULE ULIOJICHMBIA CHINI ZAIDI
 
cha maana aheshimu mahakama.mahakama zetu ziwe huru zisingiliwe na watendaji wa serikali km dc rc na wengneo.tumeona watendaji weng wakipuuza amri za mahakama awamu hi ya tano.
 
Back
Top Bottom