- Thread starter
- #261
Hiyo ni akili yakoKama mungu angeihesabu sabato ni ya kupumzika tungeshaakufa wote maana we jiulize akipumzika mungu kuna atakaye baki kweli
Mimi nimeandika alichosema Mungu na kukiandika kwa "chanda cha kidole chake"... mwenyewe
Amri ya nne (kutoka 20 :8-11)