Wiwachu
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 809
- 923
Download mkuu zipo play store
Ni aibu simu za Samsung flagship kukosa radio. Wanatunyima utamu
Ni aibu simu za Samsung flagship kukosa radio. Wanatunyima utamu
Samsung kwenye upande wa redio wamezingua sana,mtu una galaxy S 8,9 au 10 halafu haina redio
Sent using Jamii Forums mobile app
Na internet ya kustream pia uwape..we unadhani hizo ni mbadala wa Default radio app zinazokuja na simu??Radio apps zipo nyingi plastore fanyeni mdownload bhana View attachment 1356279
Amani kwako.
Dunia inaadhimisha uwepo wa utoaji wa habari duniani kupitia redio na siku ya tarehe 13.02.2020 tunaadhimisha Siku ya Redio.
Toa maoni yako juu ya siku hii, ikiwa ni pamoja kuangazia tasnia hii ya redio inayoongozwa na waandishi wa habari:
- Kwa sasa imeingiliwa na watangazaji wengi wasio na taaluma ya uandishi wa habari.
- Serikali ya Tanzania kuwataka watangazaji wasio na elimu ya uandishi wa habari kutafuta au kuongeza elimu.
5 social media pia zimeweza kuziondoa kabisa main stream media katika jukumu la uhabarishaji kwani wananchi wanahabarishana wenyewe bila kusubiri taarifa kwenye vyombo vya habari.
Zilizopo app store siyo offline,ni online steamingAcha uvivu fanya uidownload zipo plastore