Baba Hellen
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 763
- 91
nafikiri uko right wengi wetu sisi niwaelewa nashauri wana jf muondoe unazi tujenge taifa
Kwanini Unatuchosha na HABARI zisizo na UCHUNGUZI ? ZISIZO na UMAANA YOYOTE ? NI UMBEA MTUPU LAKINI na MODS waMEMEACHA HUO UMBEA KUENDELEE NA KUTAMBAA; WAKATI SISI TUKIWEKA HABARI zenye MWELEKEO na UMAANA zinatupwa chini... [ kama ni nchi zilizoendelea Jamii Forums, na Mwandishi wote Mahakamani Sababu ni Umbea wa Jikoni]
* Fafaunua Habari zako kama sio stay safe kama sie Hakuna haja ya kuwa MDODOSA wa Maana... Soma Habari Iliyoandikwa na Mwandishi wa Maana na Iweke kwenye Jamii Forums...
Wakatoliki wanamuombea awe mtakatifu huko ahera.
kwa maana hiyo Komba alijulishwa kifo cha Mwalimu kabla ya Watanzania wote? Anyway hizi ni porojo tu reality ni kuwa mwalimu alikufa na kama taifa tunakubaliana alikufa tarehe 14/10/1999, sasa kama una ushahidi wowote wa kitibabu toka st Thomas tuwekee ili utumike kama ushahidi wa kuisukuma serikali iweke historia na kumbukumbu kuhusu kifo cha mwalimu sawasawa na aliyedanganya taifa awajibishwe!
Any rational thinking person would arrive at the same conclusion! And not only Komba, vikundi vya kwaya (in selected churches) walishaambiwa wajiandae kutunga nyimbo za maombolezo weeks before 14th Oct 1999. Unless utuambie kuwa it is possible Mkapa atangaze habari za kifo around saa nne asubuhi, then within 5 minutes of that announcement Komba na wenzake (plus kwaya kadhaa) watunge nyimbo (na si wimbo mmoja bali at least nne kama kumbukumbu zangu ni sahihi), wazifanyie mazoezi, zikarekodiwe na zipigwe Radio Tanzania (as it was known by then).
And if you can believe that you will believe anything!
Kwa mara ya mwisho JK Nyerere alihojiwa na BBC tarehe 8 na akasema yuko fiti na anatarajia kurudi nyumbani mapema tena akiwa na afya njema. Ila kifo chake (biological dearth was tarehe 10, na wala sio 14. Brother Ben Mkapa aliitwa huko UK tarehe 9 wakati mwalimu yuko kwenye koma tangu tarehe 8 usiku. Chelewa yote hii ilikuwa ni kuwaweka watu sawa ili wazoee hali aliyokuwa nayo mwalimu kuwa ilikuwa mbaya, hivyo hawezi kupona.
Sijui kama tukikubaliana sasa kwamba mwalimu alifariki tarehe 7/10/1999 itatusaidia nini kwa sasa kwakuwa watu walewale tunaowashutumu walitudanganya ndio walewale walioko madarakani kwahiyo hakuna kitakachobadilika kwa sasa.
Tukishafanikiwa kuitia korokoroni ccm ndipo tutaweza kuiandika vizuri historia yetu bila kuweka mambo ya ujanjaujanja kama haya yanayofanyika sasahivi.