Siku ya kweli aliyokufa Mwl J K Nyerere

Siku ya kweli aliyokufa Mwl J K Nyerere

Mwalufunamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
211
Reaction score
129
Ukweli hauwezi funikwa siku zote. Ni kama kuuzuia moshi kwa kawa.

Kama vile kuvuja kwa taarifa za mipango na utekelezaji wa kumwua Nyerere kulivyokuwa, kisha kuibukia 2012 kwa uwazi zaidi. Ndivyo tarehe rasmi ya kufariki inapojulikana.

Nyerere alifariki tarehe 7 Oktoba 1999.

Tarehe nyingine ni danganya toto. Ukweli unasema, huwezi kuwadanganya watu wote kwa nyakati zote. Ndicho serikali iliyoongozwa na B W Mkapa ilichofanya.
 
Yaani unataka tukuamini kirahisi rahisi namna hiyo kwa jambo zito kama tarehe ya kufa baba wa taifa?
Leta ushahidi tujadili.
 
Wewe wasema ingawa hatujui unasema kama nani na isaidie nini? Majungu ni elimu ya mpumbavu siku zote. Hata kama alikufa hiyo tarehe yako unadhani itamfufua au kutuongezea lolote? Shame on you!
 
Mleta mada, next time njoo na taarifa ambayo imekuwa backed up na ushahidi wa kutosha! Hizi thread nyingine nyepesi nyepesi zinatupotezea muda! Waulize vizuri Madaktari stages za kifo na ni wakati gani mtu anakuwa declared keshakufa! Zaidi ya hapo unatupotezea tu muda hapa!
 
Hapa emotion zimetawala, lakini kutakuwa na ukweli ndani yake, walisema aliuawa nikasadiki, kumbe na kufa ni tar 7...nasadiki pia
 
Ukweli hauwezi funikwa siku zote. Ni kama kuuzuia moshi kwa kawa.

Kama vile kuvuja kwa taarifa za mipango na utekelezaji wa kumwua Nyerere kulivyokuwa, kisha kuibukia 2012 kwa uwazi zaidi. Ndivyo tarehe rasmi ya kufariki inapojulikana.

Nyerere alifariki tarehe 7 Oktoba 1999.

Tarehe nyingine ni danganya toto. Ukweli unasema, huwezi kuwadanganya watu wote kwa nyakati zote. Ndicho serikali iliyoongozwa na B W Mkapa ilichofanya.

Fear them not,,,,for there is nothing covered,that shall not be revealed;and hid that shall not be known.(MATHEW 10;26) hakika kama watu ama viongozi tungelifahamu hili hata habari za ufisadi tusingezisikia kwa sababu ni aibu kuwekwa hadharani kwa ubadhirifu ilhali ulikuwa ukijitangaza wewe ni msafi,lakini ukisoma mhubiri(ecclesiates 12;14) For God shall bring every work into judgement,with every secret thing,whether it be good,or whether it be evil.am waiting for my God who will rule the earth with the rod of peace na anakaribia kuja kutokana na hali ya sasa ya mashariki ya kati.
 
Ndio hata mimi nashangaa! Ooops kuanzia mwakani watoto wangu hakuna kwenda shule tar.7
 
No research! No right to speak!

Umekuaje hajafanya research? Binafsi sijui mwalimu alifariki lini ila najua kifo chake kilitangazwa tarehe 14 October. Kama angekuwa amefariki tarehe 14 iweje nyimbo za kina Komba zianze kupigwa radioni immediately dakika chache baada ya Mkapa kutangaza kifo chake?
 
Ukweli hauwezi funikwa siku zote. Ni kama kuuzuia moshi kwa kawa.

Kama vile kuvuja kwa taarifa za mipango na utekelezaji wa kumwua Nyerere kulivyokuwa, kisha kuibukia 2012 kwa uwazi zaidi. Ndivyo tarehe rasmi ya kufariki inapojulikana.

Nyerere alifariki tarehe 7 Oktoba 1999.

Tarehe nyingine ni danganya toto. Ukweli unasema, huwezi kuwadanganya watu wote kwa nyakati zote. Ndicho serikali iliyoongozwa na B W Mkapa ilichofanya.

umekuwaje mkuu, ndo umeamka au umenyweshwa valuu, hakuna kitu umeandika
 
Trust me it makes sense somehow, nyimbo za komba and all that matukio, suti na kaunda suti nyeusi, the army na gwaride, etc, etc.
 
Back
Top Bottom