Mwalufunamba
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 211
- 129
- Thread starter
- #81
kwa maana hiyo Komba alijulishwa kifo cha Mwalimu kabla ya Watanzania wote? Anyway hizi ni porojo tu reality ni kuwa mwalimu alikufa na kama taifa tunakubaliana alikufa tarehe 14/10/1999, sasa kama una ushahidi wowote wa kitibabu toka st Thomas tuwekee ili utumike kama ushahidi wa kuisukuma serikali iweke historia na kumbukumbu kuhusu kifo cha mwalimu sawasawa na aliyedanganya taifa awajibishwe!
Duuh!!