siku ya kwanza

Sasa kama mmekubaliana mmuibenjue sasa unavunjaje hapo amri ya sita wakati mmekubaliana?

Fide mmekubaliana nyie wawili lakini siyo na Mungu

Mkikubalina wewe na Kaizer kwenda kuiba hilo haliwatoi kwenye kosa la kuvunja sheria ya Jamuhuri hii...sijui umenielewa?
 
hommie kwa hiyo hawakuspecify kama uzini na mtu wa jinsia gani?

sasa hapo wakati Musa anakabidhiwa hizo amri sijui kama mambo ya 'kusodomize' yalikuwepo

nadhani hizi amri za Mungu pia zinahitaki kufanyiwa 'amendment from time to time' lol !!!
 
Fide mmekubaliana nyie wawili lakini siyo na Mungu

Mkikubalina wewe na Kaizer kwenda kuiba hilo haliwatoi kwenye kosa la kuvunja sheria ya Jamuhuri hii...sijui umenielewa?

Kaizer na Fidel wakikubaliana, siyo? Mi simo hapo........
 
Fide mmekubaliana nyie wawili lakini siyo na Mungu

Mkikubalina wewe na Kaizer kwenda kuiba hilo haliwatoi kwenye kosa la kuvunja sheria ya Jamuhuri hii...sijui umenielewa?

Yaani ndo maana huwa nachanganyikiwa hapo hapo tu.
Mungu utamwona wapi akuruhusu umege? na je ukisali kabla ya kumega napo umevunja amri ya 6? hizi sheria za Mungu jamani.
 
hivi Fide turudi hapo hapo tu.....unaweza kwenda kuomba ruhusa ya kuvunja sheria kwa Jamuhuri?

Samahani jamani nahisi we are totally and completely off the topic......
 
sasa hapo wakati Musa anakabidhiwa hizo amri sijui kama mambo ya 'kusodomize' yalikuwepo

nadhani hizi amri za Mungu pia zinahitaki kufanyiwa 'amendment from time to time' lol !!!

yalikuwa tayari yameshatokea B hata kabla ya Nuhu,,,actually wakati wa Ibrahimu!
 
sasa hapo wakati Musa anakabidhiwa hizo amri sijui kama mambo ya 'kusodomize' yalikuwepo

nadhani hizi amri za Mungu pia zinahitaki kufanyiwa 'amendment from time to time' lol !!!

Hapana dada yangu, mungu ni yuleyule jana, leo na hata milele, yeye ni ALFA na OMEGA, Mwanzo na Mwisho, watoto wa Kitaa wanasema mwanzo-mwisho. Sheria zake ni za milele, kwa maana hakuna jipya chini ya JUA, unakumbuka SODOMA NA GOMORA? Ilikuwa wakati wa Ibrahim, Yaani kabla ya Mussa na niyo chanzo cha hilo neno hapo juu( nyekundu), Huo mji ni kielelezo cha hiyo dhambi hapo juu, Biblia inasema mwana wa Adam atakaporudi watu watakuwa wakiendelea na maisha yao, kuoana ( kama jinsi moja sijui), wakinywa na kusherekea naye atakuja kama mwivi usiku.
Sheria za Mungu zinatosha kama alivyo yeye mwenyewe.
 
kaka yangu asante, na hilo nalifahamu vizuri.

Mungu ni mkamilifu, anajitosheleza mwenyewe(vivyo hivyo sheria zake) kwa leo nakubaliana ana wewe ili tusirudi kule kwa Maxshimba kwa leo.

Hivi is jino kwa jino still applicable??
 
Mmmmh! Mimi nikiwa na appoitment tu na demu, nikishapanda kwenye daladala kuelekea eneo la tukio tayari nasimamisha!
...unapoanza kuoga tu na kujiandaa kwa ajili ya hiyo appointment,mambo yanaanza kuwa juu mitaa fulani.
 
unawza kuingia rumi kitu kiko safi ile mbaya
tatizo linakuja pale unataka kuanza kula mzigo wife anaanza kukuliza habari za viwanja huko pugu, karo za watoto nk

hapo hapo ngoma inalala
 
kaka yangu asante, na hilo nalifahamu vizuri.

Mungu ni mkamilifu, anajitosheleza mwenyewe(vivyo hivyo sheria zake) kwa leo nakubaliana ana wewe ili tusirudi kule kwa Maxshimba kwa leo.

Hivi is jino kwa jino still applicable??
Hapana Yesu aliondoa hii Kitu! Si unakumbuka yule mama ambaye aliletwa mbele yake amezini? Alisemaje? Yule asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga jiwe!!!! kwani alibaki mtu? Hakuna naye akasema ondoka hata mimi sikuhukumu!!!
Japo kuna eneo ambalo jino jino inafanya kazi, kwenye sheria za Nchi, huku ndiko kuna reflection ya Sheria za Mungu, Naye anasema Tiini mamlaka , na mamlaka zote yeye ndiye ameweka. Sina hakika ukiua na kuuawa ( kunyongwa kama hukumu yako itafutika kwenye kiti cha Enzi), Sheria za Mungu ni kamilifu zaidi. Ila uzuri ni kwamba katika yesu wote tunasamehewa bureeeeeee.
 
Too much information....? siku ya kwanza that means kulikuwa na siku ya pili na ya tatu...... yani ur problem is solved
ni siku ya kwanza tu, hizo siku nyengine mpaka leo mchezo unafanyika kama kawaida,haina problem, nilichokuwa nataka nijue kama kuna baadhi ya watu ambao imeshawatokea.
 
Tatizo hilo kwa siku ya kwanza nadhani ni la kisaikolojia zaidi, na ndio maana siku zilizoendelea tatizo hilo halipo tena!
 
Kwa wanaume yatokea bila kujali rangi-hata kwa wabongo.

Kwa wanawake nako yatokea kupata mshituko ambao hupelekea bleed ya ghafla au ukavu sehemu.
 
ni siku ya kwanza tu, hizo siku nyengine mpaka leo mchezo unafanyika kama kawaida,haina problem, nilichokuwa nataka nijue kama kuna baadhi ya watu ambao imeshawatokea.

inatokeaga japo sio kwa wote ......inategemea na aina ya mtu umemfeel vipi, na mazingira yenyewe mnayotaka ku do ze needful....and a whole bunch of other factors
 
Lakini hiyo kwa wazungu wengi ni kawaida. Ndoma shori wa kidhungu akimpata mmbongo hawezi kumwacha kwa kuwa anapata kitu ya kweli. Nimeona mademu wengi wanaoolewa na wazungu ni lazima wawe na wabongo wa kuwamega. yale majamaa ni mabingwa wa "kunawa". Utapigwa finga mpaka usikie harufu ya k... chumba kizima lakini jongoo wake hawezi kupanda mtungi. Ushauri kwa dada zangu kama unampenda mzyungu kwa minoti sawa lakini kama unampenda mdume kwa kazi nenda kwa mbongo.

Duh! kwa hiyo wale akina a.k.a bongo celbrity wameula wa chuya inabidi wamiliki vidumu!:twitch:
 
Back
Top Bottom