....siku ya kwanza...

Mi mzima mwaya, halafu kinachoongelewa hapa nimekiona ila kinatisha kidogo bora hujakiona!
Mpatanishi utamuweza basi, kashindwa masharti sijui katokomea wapi!

mm nipo ila wewe umejificha sijui wapi.
 
Nakutajia three letters, moja wapo itakua ndo yenyewe.. Sawa?

Mbona maandalizi ya kutaja yamekua mareeeefu ! Wkt ushaambiwa sanua,
au domo limejaa mate !
Huna lolote ! Ikulu haipigwagi mkwara !
 
Mi nlikiona cha kawaida tu.....tena nakumbuka ilikuwa darasa la kwanza tukiwa tunaoga mtoni na vibinti (cunajua aibu ilikuwa kushney.?).......

Ila bahati mbaya alikidondosha kikaenda na maji.!!!
 
Back
Top Bottom