nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,909
naogopa, nipeleke
Sio safari ya mda mrefu nadhani ni saa moja halafu kuna nyasi za kujifichia kama kuna kitu cha kukutisha
naogopa, nipeleke
Ni kama ulivyojibu wewe hapo juu!
Jibu lako ndiyo langu, labda hapo kwenye kulia ndiyo tunaweza kutofautiana, mie hua sitokwi tears even if am cryin'
wewe je ?
Usimtishe mwenzio wakati wewe udenda ulikutoka
Nitty.. Mi ilinshangaza tu.. Kwani we mara ya kwanza udenda ulikutoka?
Kwa vile bado unakiri hujakiona kiongelewacho hapa , hivyo vionekanavyo kwa mpapaso ndiyo kabisaa ! Hata ukipapasishwa hutoviona.
Sio safari ya mda mrefu nadhani ni saa moja halafu kuna nyasi za kujifichia kama kuna kitu cha kukutisha
ndio shemeji yangu yule eeh!
nishastuka hapa amuongei mambo mazuri.
nishastuka hapa amuongei mambo mazuri.
hahahaha nitonye huyo!
Nitonye kafanya nini halafu mbona mchokozi weye, umeshaonana na b52 amezunguka town yote anakutafuta
b52 nshaonana nae... Nimem bamba maeneo flani hivi..
Serious?! Hutokwi machozi kabisaaa?
Mshtuko wako waonesha tayari umeshajua sasa tuambie siku ya kwanza ulionaje
Kumbe ndivyo ulivyo! Ngoja nimwambie mdingi
nishastuka hapa amuongei mambo mazuri.
nishastuka hapa amuongei mambo mazuri.
Mshtuko wako waonesha tayari umeshajua sasa tuambie siku ya kwanza ulionaje
....siku ya kwanza kuiona...ilikuaje?
Maeneo gani tena au ndio alikuwa amekutegea hapo?