Siku ya kwanza kutongozwa na demu

Siku ya kwanza kutongozwa na demu

Nimetongozwa sana na wa dada walionizidi umri,
Mabinti ni wa2 tu, mmoja aliniambia "yaani wee uko siriasi afu mpole sana adi mtu anashindwa kukuambia kitu" kumwambia aniambie kakataa tumeachana dk 15 baadae ananitumia emoji za kopa kopa nyingiii,
Binti Mwingine alituma sms "nakupenda sana Samboko natamani uwe baba wa watoto wangu" alafu kwa uoga akazima ile line siku 4, nmekuja kutananae siku hy ya 4 anadai kanitumia sms lkn sikumjibu, kwenye mahusiano ndio anakuja kuniambia alipata ujasiri wa kuniambia lkn akakosa ujasiri wa kupokea jibu ikabidi azime line aliyonitumia nayo sms.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahha....mm mwisho wa kutongozwa ni jana asee..hawa watu wanajua askwambie mtu...Halaf cjui nnamkos gan mana wanaonielewaga wote ni vyuma ...sema sasa tatizo linakuwaga ni wakibwa kuliko mm hapo ndo naanza kiwaza....mamaz kiaina znashobo ile mbaya...hasa fb mtandao una wadada hawana aibu ule....messenger wanakuja kukupiga swaga kabisaaaaa....kna maza alnielewaga alianz kma urafiki na mm..akanambia nmuite dada,baas bana tkazoeshana vile.sku 1akanambia mdogo wng njoo ukitoka field njoo unpitie hapa job mana alkuw ni muuguzi hospital flan hiv dar stoitaj..ilkuw ni mwaka jana, baas mzebaba nkajikok natoka field saa tisa hiv nkaruka chap.nakmbk nlkie na njaa balaa, nlvyfik aknambia nsbr kdoog baas alvymaliz aknambia ywende zetu baas, kumbuka alkuw anakaa karb na maeneo nnayokaa mm nandoman nkazid kuweka iman kwake, baas bhn tjapyia sehem 1 hiv ebana weee...nlkula kinoma na stor za kuzuga za kiheshima mana ni kama sister wng tu...nkiwek na mbwembwe zng za stor za kchkesha ili nsionkane naboa....baas hhn nkashangaa ananiuliz dogo unapiga bia?[emoji848] nlishangaa kidog nkamwambia sisyer sjawah waza hiyo kitu asee na ukiagiz hata yko ntaondok mm muislam swafi bhn...akachek sana...baas bhn tnakula huku redbull ikinikuna koo.....tkamaliz ajnambia dogo twenzetu bass nkusndkz mpk karb na kwenu mdg wng mana alkuw na gari nkamwambia powa...kweny gar ilkuw stor za biashar tu mana anaonkn anahela alaf mshkaj nasoma business nkawa nampa mambinu ya biashara baas safar ijawa ya maana huk aknisif mdog wng ww smart sana..bas akniuliz nkplek mpk kwen nkapajue? nkagoma baas bhn kabla ya kushuka akanipa elf 50 huhuhuu[emoji39][emoji39] duuh dogo umnip mchng mkubw wa kimawaz hii ni kma shkraan daah mfk ulkuw emoty nkaon bora ata nmpat ya kutngnezea oc yng na kzurulia...baas bhn nkakaa kma cku 3 hiv akanitext dog kimya sana asee...baas tkaw tnachart nodmal tu....mwez wa 10 mwak jana nloost pich fb nlshngaa kweny comment akacomment mume[emoji848]mmmh nkaingia messenger kmbuk hata namb yje nlkuw sna tnachartg messenger tu..nkmwambia umkosea kuandk nn kweny comment...alcheka sana...aknambia ok anyway...una lios nzur sana ujue, natman ningkuw na mdog wng ningkupa asee sema sina asee ila naon bado mamb yatkaa sawa tu...umri si kikwaz mana hata mtume alioa mwanamk alomzid umri...ckwambii unioe...bt nioat chance tu ya kuwa na ww kimapmz please cjui hata nn nakiandika ila elewa tu umeuyeka moyo wng suma, najikuta tu nakonda na kuzuia hisia swez anglau ningkuw na mdog ningkup sema sina sasa..naomb nichkuwe nafas hii mm..mm si suger mummy najua utawaza hilo wala si malaya ni mtu na heshma zangu..sema yanapofika shingon lazma uoige yowe la msaada..ni hilo tu...olease uskrpul knijib hata kesh utanijib najua ww muelew na msomi mtu akiwa kweny situation kma hii unajua nn anamaanisha...nkutakie usk mwema mda umeenda sana kesho nnazam morn....baas nkazngua nkamwambia never...eeebana wee nljuw kma adui vle mana kila kukicha ni lawama tuuuuu dogo ushawah ona mwanamk abamtngz mwanaum una bahat dog unaichzea,kwan dogo ushawah ingia hotel or ndo unaishiaga lodge tu[emoji23][emoji23]....ntkulipia mm, na ntakulipa hata ukitaka,daa jidada la watu lile mpk nahis alkuw ni chiz lkn laaah......baas ndoivo bhn....wapo weng sana kama hawa asee...unapigwa swaga mpaka unakaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmechoka kuandika asee

Sent using [Samsung galaxy s10]
Nimevutiwa sana na mwandiko wako. Wewe ni msomi wa kiwango gani katika fani hiyo ya biashara?
 
Mimi ilitokea kwenye gari ile nashuka msichan moja iv alikuwa kavaa bai bui nae akashuka mimi sikuwa kabsa na wazo nae nilikuwa nawaza kupanda usafir mwingne ile gar imefika kituoni nataka nipande niendeleh na safari nashikw mkono na uyu binti niliogopa sana ila akaniambia samahan kaka nakuomba kidogo nikasema ok tell me naomba tukakae pale kweny mgahawa bila iyana nikamjibu sawa tukala akaniomba namba..haisee nimerud home nikajua ni jini nimekuta nae kutokan na mavaz yake..ilivyo ingia namb ngeni sikupokea kwa uwoga ila kesho yake nikapokea(niliona uchawi hawendi kwa mental) kufupish tu story akuwa jini ni mtu tu wa kawaidah alitokea kunipenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa. Wakati niko high school kuna mdada alinifuata nyumbani. Alipiga hodi, akaingia sebuleni, akawaambia nina shida na KANA. Nikaitwa, akanitoa nje, akanipiga 'vesi' hehee. That girl was something else!
Duuh bila shaka ndiyo mkeo😀😀
 
Wakuu karantini challenge inaendaje.

Moja kwa moja kwenye uzi,nakumbuka mwaka 2012 nikiwa Dar mwezi wa nane nimemaliza chuo tumeagana na masela mabibo hostel nimeenda kwa dingi mkubwa kimara mwisho.

Pale kulikua na pisi nalo limemaliza chuo huyo home kwao katika pitapita tukaonana na kuongea mawili matatu. Kumbe mwenzangu kashazimika,daaaa.

Mtoto akanifuatilia kwamba nina tabia ya kwenda night club flan mwenge,siku ile tumeonana mimi nikaona niombe japo hata namba ili asinione fala japo nilokua sijamkubali kivile.

Mtoto rangi adimu,jicho jeupe peee nikawaza nimtokee? Asije nikataa nikaaibika mtaani hapa. Mzee nikaendelea na mishe zangu.

Siku ya siku naona katuma sms hata sijui namba yangu aliitoa wapi maana mimi nilichukua yake mimi sikumpa. "Naomba unisamehe kama nitakua nimekukosea,nimevumilia nimeshindwa,nakupenda".

Jamani asikwambie mtu nilijisikia aibuuuu... Nikajiuliza nijibu vp? Huyu ni demu wa kawaida au malaya?

Nikajisemea moyoni,mbona nitaonekana boya kutomkubalia. Nikamjibu " Asante kwa upendo wako mrembo,kusema kweli nilikua nakufanyia timing tu".

Tukaja kuachana 2015 nilipota ajira Arusha,mtoto faithful kinoma halafu mtamu hatari. Nasikitika kumhisi malaya mwanzoni. Wanawake nao wanapenda jamani tuwape nafasi ya kutuambia ...
Naomba namba yake nithibitishe hiki ulichoandika
 
Write your reply...kuna boya hapo juu kaandika mwaandiko mpaka najiuliza huyu jamaa amesoma kweli
 
Back
Top Bottom