Siku ya kwanza kutongozwa na demu

Siku ya kwanza kutongozwa na demu

Mimi kwangu ni tofauti, huwa napendwa sana na wake za watu, ila sijawahi toka na hata mmoja wao kwani naogopa sana.
Hii imepelekea kuwa mbali na hawa watu once ninapobaini wameolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati huo festi year wakati wa presentaions kuna dada akawa ananipiga maswali balaaa. Baada ya pindi kutoķa akanifata akaniambia samahani kwa maswali then naomba namba yako it seem your see deep kwenye hili somo.

Kumpa namba then akniambia ananipenda. Niliogopa saana maana kipindi kile home waliniamba kila bint wa chuo ameathirika. Watoto wa mama salma.

Nilikuwa mjinga inshort

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha kijana contena la mama salma lilikutisha!!
 
Asante kwa taarifa usisahau kwenda kwenye ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara
 
Back
Top Bottom