Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,293
- 3,992
Hapana bana.Unajishaua!!
Hapana bana.Unajishaua!!
Ni ngumu sana kumkataa dem akikutongoza
Duhhh....
Nimejikuta nasikitika kwa jinsi vijana wa sasa mlivyo kosa koromeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kuna wale wqnakulia timing tu....anakuja anafunguka na unaona ni mtulivuDemu akiwa anaropoka ropoka mbele za watu, huwa nampotezea tuu...nishapotezea wengi tuu.
Team selective!!
Sasa mkuu ,hapo kwa text uliona aibu je ingekua laivu si ungeanza kushika shika majani na kung'ata nga'ata kuchaWakuu karantini challenge inaendaje.
Moja kwa moja kwenye uzi,nakumbuka mwaka 2012 nikiwa Dar mwezi wa nane nimemaliza chuo tumeagana na masela mabibo hostel nimeenda kwa dingi mkubwa kimara mwisho.
Pale kulikua na pisi nalo limemaliza chuo huyo home kwao katika pitapita tukaonana na kuongea mawili matatu. Kumbe mwenzangu kashazimika,daaaa.
Mtoto akanifuatilia kwamba nina tabia ya kwenda night club flan mwenge,siku ile tumeonana mimi nikaona niombe japo hata namba ili asinione fala japo nilokua sijamkubali kivile.
Mtoto rangi adimu,jicho jeupe peee nikawaza nimtokee? Asije nikataa nikaaibika mtaani hapa. Mzee nikaendelea na mishe zangu.
Siku ya siku naona katuma sms hata sijui namba yangu aliitoa wapi maana mimi nilichukua yake mimi sikumpa. "Naomba unisamehe kama nitakua nimekukosea,nimevumilia nimeshindwa,nakupenda".
Jamani asikwambie mtu nilijisikia aibuuuu... Nikajiuliza nijibu vp? Huyu ni demu wa kawaida au malaya?
Nikajisemea moyoni,mbona nitaonekana boya kutomkubalia. Nikamjibu " Asante kwa upendo wako mrembo,kusema kweli nilikua nakufanyia timing tu".
Tukaja kuachana 2015 nilipota ajira Arusha,mtoto faithful kinoma halafu mtamu hatari. Nasikitika kumhisi malaya mwanzoni. Wanawake nao wanapenda jamani tuwape nafasi ya kutuambia ...
Kutongozwa kwa kwel nimezoea mpka imefka mahal najiamin kabsa nkienda mahali kuna wasichana zaid ya wawil lazima mmoja wapo anipende
NB; sinaga bahat wanaonipenda mi nakuwa sijawaelewa na hata kupga nawapotezea ila niliowaelewa wanavyonizungusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema hakuna kuferiiHahaa. Wakati niko high school kuna mdada alinifuata nyumbani. Alipiga hodi, akaingia sebuleni, akawaambia nina shida na KANA. Nikaitwa, akanitoa nje, akanipiga 'vesi' hehee. That girl was something else!
Hapo sawa...akiwa mtulivu na hana makando kando safi.Hapana kuna wale wqnakulia timing tu....anakuja anafunguka na unaona ni mtulivu
Siku ya kwanza nilipiga bure ila baadae mapenzi yalipokolea nilikua namtoa kimtindo hela ya sabuni walau kufulia chupi.Naomba kuuliza swali iv mkitongozwa mnawahudumia au kuwahonga hao wanawake au wenyew ndo wanawahonga nyinyi? hela inanogesha mapenzi bhana
Mwamba,siku ya kwanza unakua na mawazo kibao. Yaani unajiuliza huyu demu malaya? Au amenielewa kweli? Baadae unaona kama wewe boya coz demu unaonana nae mara kwa mara na umeshindwa kumtokea mpaka akwambie yeye,hapo ndio aibu inaanza.Sasa mkuu ,hapo kwa text uliona aibu je ingekua laivu si ungeanza kushika shika majani na kung'ata nga'ata kucha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew ni Mimi kabisa.Kutongozwa kwa kwel nimezoea mpka imefka mahal najiamin kabsa nkienda mahali kuna wasichana zaid ya wawil lazima mmoja wapo anipende
NB; sinaga bahat wanaonipenda mi nakuwa sijawaelewa na hata kupga nawapotezea ila niliowaelewa wanavyonizungusha
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahha....mm mwisho wa kutongozwa ni jana asee..hawa watu wanajua askwambie mtu...Halaf cjui nnamkos gan mana wanaonielewaga wote ni vyuma ...sema sasa tatizo linakuwaga ni wakibwa kuliko mm hapo ndo naanza kiwaza....mamaz kiaina znashobo ile mbaya...hasa fb mtandao una wadada hawana aibu ule....messenger wanakuja kukupiga swaga kabisaaaaa....kna maza alnielewaga alianz kma urafiki na mm..akanambia nmuite dada,baas bana tkazoeshana vile.sku 1akanambia mdogo wng njoo ukitoka field njoo unpitie hapa job mana alkuw ni muuguzi hospital flan hiv dar stoitaj..ilkuw ni mwaka jana, baas mzebaba nkajikok natoka field saa tisa hiv nkaruka chap.nakmbk nlkie na njaa balaa, nlvyfik aknambia nsbr kdoog baas alvymaliz aknambia ywende zetu baas, kumbuka alkuw anakaa karb na maeneo nnayokaa mm nandoman nkazid kuweka iman kwake, baas bhn tjapyia sehem 1 hiv ebana weee...nlkula kinoma na stor za kuzuga za kiheshima mana ni kama sister wng tu...nkiwek na mbwembwe zng za stor za kchkesha ili nsionkane naboa....baas hhn nkashangaa ananiuliz dogo unapiga bia?[emoji848] nlishangaa kidog nkamwambia sisyer sjawah waza hiyo kitu asee na ukiagiz hata yko ntaondok mm muislam swafi bhn...akachek sana...baas bhn tnakula huku redbull ikinikuna koo.....tkamaliz ajnambia dogo twenzetu bass nkusndkz mpk karb na kwenu mdg wng mana alkuw na gari nkamwambia powa...kweny gar ilkuw stor za biashar tu mana anaonkn anahela alaf mshkaj nasoma business nkawa nampa mambinu ya biashara baas safar ijawa ya maana huk aknisif mdog wng ww smart sana..bas akniuliz nkplek mpk kwen nkapajue? nkagoma baas bhn kabla ya kushuka akanipa elf 50 huhuhuu[emoji39][emoji39] duuh dogo umnip mchng mkubw wa kimawaz hii ni kma shkraan daah mfk ulkuw emoty nkaon bora ata nmpat ya kutngnezea oc yng na kzurulia...baas bhn nkakaa kma cku 3 hiv akanitext dog kimya sana asee...baas tkaw tnachart nodmal tu....mwez wa 10 mwak jana nloost pich fb nlshngaa kweny comment akacomment mume[emoji848]mmmh nkaingia messenger kmbuk hata namb yje nlkuw sna tnachartg messenger tu..nkmwambia umkosea kuandk nn kweny comment...alcheka sana...aknambia ok anyway...una lios nzur sana ujue, natman ningkuw na mdog wng ningkupa asee sema sina asee ila naon bado mamb yatkaa sawa tu...umri si kikwaz mana hata mtume alioa mwanamk alomzid umri...ckwambii unioe...bt nioat chance tu ya kuwa na ww kimapmz please cjui hata nn nakiandika ila elewa tu umeuyeka moyo wng suma, najikuta tu nakonda na kuzuia hisia swez anglau ningkuw na mdog ningkup sema sina sasa..naomb nichkuwe nafas hii mm..mm si suger mummy najua utawaza hilo wala si malaya ni mtu na heshma zangu..sema yanapofika shingon lazma uoige yowe la msaada..ni hilo tu...olease uskrpul knijib hata kesh utanijib najua ww muelew na msomi mtu akiwa kweny situation kma hii unajua nn anamaanisha...nkutakie usk mwema mda umeenda sana kesho nnazam morn....baas nkazngua nkamwambia never...eeebana wee nljuw kma adui vle mana kila kukicha ni lawama tuuuuu dogo ushawah ona mwanamk abamtngz mwanaum una bahat dog unaichzea,kwan dogo ushawah ingia hotel or ndo unaishiaga lodge tu[emoji23][emoji23]....ntkulipia mm, na ntakulipa hata ukitaka,daa jidada la watu lile mpk nahis alkuw ni chiz lkn laaah......baas ndoivo bhn....wapo weng sana kama hawa asee...unapigwa swaga mpaka unakaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmechoka kuandika asee
Sent using [Samsung galaxy s10]
Kilichokukufanya unpige chini ni nini arifulela ?Wakuu karantini challenge inaendaje.
Moja kwa moja kwenye uzi,nakumbuka mwaka 2012 nikiwa Dar mwezi wa nane nimemaliza chuo tumeagana na masela mabibo hostel nimeenda kwa dingi mkubwa kimara mwisho.
Pale kulikua na pisi nalo limemaliza chuo huyo home kwao katika pitapita tukaonana na kuongea mawili matatu. Kumbe mwenzangu kashazimika,daaaa.
Mtoto akanifuatilia kwamba nina tabia ya kwenda night club flan mwenge,siku ile tumeonana mimi nikaona niombe japo hata namba ili asinione fala japo nilokua sijamkubali kivile.
Mtoto rangi adimu,jicho jeupe peee nikawaza nimtokee? Asije nikataa nikaaibika mtaani hapa. Mzee nikaendelea na mishe zangu.
Siku ya siku naona katuma sms hata sijui namba yangu aliitoa wapi maana mimi nilichukua yake mimi sikumpa. "Naomba unisamehe kama nitakua nimekukosea,nimevumilia nimeshindwa,nakupenda".
Jamani asikwambie mtu nilijisikia aibuuuu... Nikajiuliza nijibu vp? Huyu ni demu wa kawaida au malaya?
Nikajisemea moyoni,mbona nitaonekana boya kutomkubalia. Nikamjibu " Asante kwa upendo wako mrembo,kusema kweli nilikua nakufanyia timing tu".
Tukaja kuachana 2015 nilipota ajira Arusha,mtoto faithful kinoma halafu mtamu hatari. Nasikitika kumhisi malaya mwanzoni. Wanawake nao wanapenda jamani tuwape nafasi ya kutuambia ...
hapana ila jamaa ameonesha kusikitika hajawahi kutongozwa so nimempa ushauri tu,lakini kutongozwa na mwanamke ina raha yake bana mkuuDuh!!! Shehe kwan kuna credit yoyote ukitongozwa na demu
Unaandika hovyo sanahahahha....mm mwisho wa kutongozwa ni jana asee..hawa watu wanajua askwambie mtu...Halaf cjui nnamkos gan mana wanaonielewaga wote ni vyuma ...sema sasa tatizo linakuwaga ni wakibwa kuliko mm hapo ndo naanza kiwaza....mamaz kiaina znashobo ile mbaya...hasa fb mtandao una wadada hawana aibu ule....messenger wanakuja kukupiga swaga kabisaaaaa....kna maza alnielewaga alianz kma urafiki na mm..akanambia nmuite dada,baas bana tkazoeshana vile.sku 1akanambia mdogo wng njoo ukitoka field njoo unpitie hapa job mana alkuw ni muuguzi hospital flan hiv dar stoitaj..ilkuw ni mwaka jana, baas mzebaba nkajikok natoka field saa tisa hiv nkaruka chap.nakmbk nlkie na njaa balaa, nlvyfik aknambia nsbr kdoog baas alvymaliz aknambia ywende zetu baas, kumbuka alkuw anakaa karb na maeneo nnayokaa mm nandoman nkazid kuweka iman kwake, baas bhn tjapyia sehem 1 hiv ebana weee...nlkula kinoma na stor za kuzuga za kiheshima mana ni kama sister wng tu...nkiwek na mbwembwe zng za stor za kchkesha ili nsionkane naboa....baas hhn nkashangaa ananiuliz dogo unapiga bia?[emoji848] nlishangaa kidog nkamwambia sisyer sjawah waza hiyo kitu asee na ukiagiz hata yko ntaondok mm muislam swafi bhn...akachek sana...baas bhn tnakula huku redbull ikinikuna koo.....tkamaliz ajnambia dogo twenzetu bass nkusndkz mpk karb na kwenu mdg wng mana alkuw na gari nkamwambia powa...kweny gar ilkuw stor za biashar tu mana anaonkn anahela alaf mshkaj nasoma business nkawa nampa mambinu ya biashara baas safar ijawa ya maana huk aknisif mdog wng ww smart sana..bas akniuliz nkplek mpk kwen nkapajue? nkagoma baas bhn kabla ya kushuka akanipa elf 50 huhuhuu[emoji39][emoji39] duuh dogo umnip mchng mkubw wa kimawaz hii ni kma shkraan daah mfk ulkuw emoty nkaon bora ata nmpat ya kutngnezea oc yng na kzurulia...baas bhn nkakaa kma cku 3 hiv akanitext dog kimya sana asee...baas tkaw tnachart nodmal tu....mwez wa 10 mwak jana nloost pich fb nlshngaa kweny comment akacomment mume[emoji848]mmmh nkaingia messenger kmbuk hata namb yje nlkuw sna tnachartg messenger tu..nkmwambia umkosea kuandk nn kweny comment...alcheka sana...aknambia ok anyway...una lios nzur sana ujue, natman ningkuw na mdog wng ningkupa asee sema sina asee ila naon bado mamb yatkaa sawa tu...umri si kikwaz mana hata mtume alioa mwanamk alomzid umri...ckwambii unioe...bt nioat chance tu ya kuwa na ww kimapmz please cjui hata nn nakiandika ila elewa tu umeuyeka moyo wng suma, najikuta tu nakonda na kuzuia hisia swez anglau ningkuw na mdog ningkup sema sina sasa..naomb nichkuwe nafas hii mm..mm si suger mummy najua utawaza hilo wala si malaya ni mtu na heshma zangu..sema yanapofika shingon lazma uoige yowe la msaada..ni hilo tu...olease uskrpul knijib hata kesh utanijib najua ww muelew na msomi mtu akiwa kweny situation kma hii unajua nn anamaanisha...nkutakie usk mwema mda umeenda sana kesho nnazam morn....baas nkazngua nkamwambia never...eeebana wee nljuw kma adui vle mana kila kukicha ni lawama tuuuuu dogo ushawah ona mwanamk abamtngz mwanaum una bahat dog unaichzea,kwan dogo ushawah ingia hotel or ndo unaishiaga lodge tu[emoji23][emoji23]....ntkulipia mm, na ntakulipa hata ukitaka,daa jidada la watu lile mpk nahis alkuw ni chiz lkn laaah......baas ndoivo bhn....wapo weng sana kama hawa asee...unapigwa swaga mpaka unakaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmechoka kuandika asee
Sent using [Samsung galaxy s10]