long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,083
- 1,037
Wakuu karantini challenge inaendaje.
Moja kwa moja kwenye uzi,nakumbuka mwaka 2012 nikiwa Dar mwezi wa nane nimemaliza chuo tumeagana na masela mabibo hostel nimeenda kwa dingi mkubwa kimara mwisho.
Pale kulikua na pisi nalo limemaliza chuo huyo home kwao katika pitapita tukaonana na kuongea mawili matatu. Kumbe mwenzangu kashazimika,daaaa.
Mtoto akanifuatilia kwamba nina tabia ya kwenda night club flan mwenge,siku ile tumeonana mimi nikaona niombe japo hata namba ili asinione fala japo nilokua sijamkubali kivile.
Mtoto rangi adimu,jicho jeupe peee nikawaza nimtokee? Asije nikataa nikaaibika mtaani hapa. Mzee nikaendelea na mishe zangu.
Siku ya siku naona katuma sms hata sijui namba yangu aliitoa wapi maana mimi nilichukua yake mimi sikumpa. "Naomba unisamehe kama nitakua nimekukosea,nimevumilia nimeshindwa,nakupenda".
Jamani asikwambie mtu nilijisikia aibuuuu... Nikajiuliza nijibu vp? Huyu ni demu wa kawaida au malaya?
Nikajisemea moyoni,mbona nitaonekana boya kutomkubalia. Nikamjibu " Asante kwa upendo wako mrembo,kusema kweli nilikua nakufanyia timing tu".
Tukaja kuachana 2015 nilipota ajira Arusha,mtoto faithful kinoma halafu mtamu hatari. Nasikitika kumhisi malaya mwanzoni. Wanawake nao wanapenda jamani tuwape nafasi ya kutuambia ...