Siku ya kwanza kununua Condom

mimi mpatja leo ninamiaka 27 nikikuta m2 dukani simezi nunua mpaka waishe na siwezi nunua mitaa ya nyumbani kwa mfano mimi naishi mkuu rombo condom nanunua mamsera au mwika

Duh! Mwika? We mangi hufai vitani
 
Hahahaha,haka kamada kamenifurahsha sana yani ishu ya condom imenikumbusha kitambo sana,mzee alituachia nyumba yake moja nikawa naishi na madogo sasa tukawa tunavusha then tunapigia geto na ndomu tunazitupa kwenye karo la choo sasa masika lile karo likawa linatitia hv mzee akaja na fundi kupima ili kesho yake alitengeneze,tukafunua karo kucheki yani condom zmejaa hatari ikabidi tutengeneze wavu hv na kuanza kuziloaa zoote mpka zikaishaa..daaah
 
binafsi zinanipa alerge (mzio) so sinunui tena
 
Nimecheka mpaka basi.Ili kuwa huru ni bora uende pharmacy tena mbali na unapoishi
 
Nikampa hela muuzaji, ile nataka kusema anipe kondomu akaja mama, si ikabidi nimwqmbie anipe biskuti....
 
Chuo mwaka wa kwanza. Arusha opposite na St. Joseph's church, kulikuwa na grocery store, next to a pharmacy. Baada ya kuzuga sana na kula timing, nikachagua R.R, nikamlipa jamaa akawa ananifungia. Longest and awkward wait, ever. Kidogo wakatokea madogo kibao kaunta, nikasogea pembeni ili wahudumiwe kwanza. Jamaa akanipa zile zaga mbele yao na kuniambia, "ni bidhaa tu kama nyingine bro". Sikuwahi kukatiza tena ile mitaa.
 
Hahahaaaaa...

Usicheke ungeniona usingenishauri niulizie condom
manake muuzaji ndo alikuwa anawapigisha wenzie story
so mimi kuingia tu akanyamaza...kukawa kiimya kabisa
wote wananitazama na dada akaniambia nikusaidie nini....
yaani ilitakiwa niseme condoms huku wote watatu wananitazama..
ujasiri huo mgumu sana
 
mimi mpatja leo ninamiaka 27 nikikuta m2 dukani simezi nunua mpaka waishe na siwezi nunua mitaa ya nyumbani kwa mfano mimi naishi mkuu rombo condom nanunua mamsera au mwika

Pole mkuu,kumbe bado linakusumbua ili tatzo
 
Mkuu pole sana. Kesi yako hukuwa na namna zaidi ya kugeuza na kurudi ulipotoka tu
 
Mimi mpaka leo siwezi kununua Condom kukiwa na watu karibu. Na atakayeniuzia condom kama ni mdada nitamwonea aibu.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Imebidi leo nijaribu kwenda kununua maana napitaga na za broo tuu na akikuta zmepungua anavunga,, inahitaj moyo kwel japo nmefanikisha ila kijasho kimentoka
 
Imebidi leo nijaribu kwenda kununua maana napitaga na za broo tuu na akikuta zmepungua anavunga,, inahitaj moyo kwel japo nmefanikisha ila kijasho kimentoka

Nshawahi kupita na za broh,sema akauchuna hakuniulizaga chochote
 
Daah m nashukuru shoga angu wa karbu sana alikuwa anauza dukani kwake, hvyo nilikuwa cpati kaz. nilikuwa naenda nazichukua tu kwenye boks kisha nampa ela yake thn nasepa.. Ilikuwa simpo sn!!
 
Hahaha.!! kaka umenifurahisha sana, I did the same.. mi nilienda pharmacy sikukuta watu nikamwambia jamaa naomba dume, nilinunua pakiti 3 , pakiti mbili nikafanyia mazoezi ya kuvaa. hahaha
 
Hahaha.!! kaka umenifurahisha sana, I did the same.. mi nilienda pharmacy sikukuta watu nikamwambia jamaa naomba dume, nilinunua pakiti 3 , pakiti mbili nikafanyia mazoezi ya kuvaa. hahaha

Hahaha..mkuu ulikuwa unaogopa kukosea ukiwa uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…