Siku ya kwanza kununua Condom

Aisee kwakeli nilienda wilaya tofauti umbali kidogo naninapo ishi ila niliingia phamarcy ambayo ilikuwa inauzwa na mwanaume....nikanunua changu nikasepa

Tupo wengi sana kumbe
 
Haya mambo we acha tu!, ww km ni mwenyej wa mkoa wa mby. Mm nilikuwa natoka airport naenda mbaliz au uyole kununua cdm. Huu ujinga sitausahau kabisa!, mapenz shida tupu

Dah mwanangu mm pia mara ya kwanya ni hapo mbeya ukizingatia me nilikua c mwenyeji xaana hapo xo ilikua kaz nyepesi japokuwa nilienda ucku kama xaa3 iv
 
Dah mwanangu mm pia mara ya kwanya ni hapo mbeya ukizingatia me nilikua c mwenyeji xaana hapo xo ilikua kaz nyepesi japokuwa nilienda ucku kama xaa3 iv

Tatizo langu Mm sura yangu inafahamika karibia kila kona, ikawa inanilazimisha kwenda mbali na mji. Pumbavu mapenzi!
 

yalaaaah toba mbavu zangu mm
 
Last edited by a moderator:
Sana mkuu hapa umegusa wengi sana...yaani
hii nisawa na kina dada kununua pedi za siku zao..wengi huwa
wanakuwa na kigugumizi kama cha vidume kwenye
condom....

Hha yanii ulivyosema pedi umenikumbusha mbali sana
Mara yangu ya kwanza nilitetemeka balaa afu muuzaji alikua mwanaume yanii acha tu
Nilifika pale dukani nikakuta kuna watu wengi nikajifanya nimeaahau kitu nyumbani
nikarudi mpk nyumbani nikaanza kujilaum tena
Nikarudi mara ya pili hapo nimekaza moyo balaa yanii hata kutamka neno pedi ilikua kwa shida sana huku jasho mikononi mpaka kupata nilichopata ilikua kazi kweliii
 

hahahaha mkuu umenchekesha sana duh hyo noma
 
Hahahaaah hii Kali....
 
Hahaaaaa...kumbe nanyi kwenye pedi mnashikwa
na kwikwi kama vidume kwenye ndomu....
haya mambo ni kote kote . Nimependa ushuhuda wako
juu ya ishu ya pedi.

 
Hahah mi kiwembe tu nakigugumizi sembuse hiyo kitu.
 
Ulichukua mmojawapo kutoka hapo pharmacy???

nilichukua mmoja niliwazuga kuwa haikuwa nia yangu kuja kununua condom ilikuwa ni njia raisi kwangu kuwaambia shida yangu wakanielewa wote nikaja kuwagonga
 
mimi mpatja leo ninamiaka 27 nikikuta m2 dukani simezi nunua mpaka waishe na siwezi nunua mitaa ya nyumbani kwa mfano mimi naishi mkuu rombo condom nanunua mamsera au mwika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…