Siku ya kwanza kununua Condom


Hongera kwa kupata uzoefu
 

Mkuu ulipanda hadi daladala kabisa
 
Haya mambo we acha tu!, ww km ni mwenyej wa mkoa wa mby. Mm nilikuwa natoka airport naenda mbaliz au uyole kununua cdm. Huu ujinga sitausahau kabisa!, mapenz shida tupu

Mm mwenyewe kama jamaa asingekisia nataka nini,nahic ningesogea tena mbele zaidi
 
Duuh mzee ndio alikupa first time

Afu alikuwa kauzu kweli!! 'we ----- umeona zile bidhaa pale chumban kwangu?? Utachukua mapema,mama'ko asizione'... kwenda kuchek kumbe kondom bhan!!! Nliona noma sema nkachukua kibishi,afu nkamtumia asante kwa sms alipokuwa safari
 
Afu alikuwa kauzu kweli!! 'we ----- umeona zile bidhaa pale chumban kwangu?? Utachukua mapema,mama'ko asizione'... kwenda kuchek kumbe kondom bhan!!! Nliona noma sema nkachukua kibishi,afu nkamtumia asante kwa sms alipokuwa safari

Hahaha naona ukaogopa kumshukuru macho kwa macho
 
Ukitaka usione soo nenda duka la dawa pale utamkuta mdada..na hakunaga folen c mnajua..mwambie tu kua wahitaj "usalama wa taifa"
 
Ukitaka usione soo nenda duka la dawa pale utamkuta mdada..na hakunaga folen c mnajua..mwambie tu kua wahitaj "usalama wa taifa"

Kuna duka la dawa walikuwa wadada wawili wazuri wote halafu nilikuwa na haraka nilipofika nikaulizia bei wakaniambia zipo za bei tofauti nikawajibu nyie huwa mnatumia ipi nzuri wote wakacheka pale dukani sikuondoka tena na demu niliekuwa nataka kwenda kumgonga nikaghairi
 

Hahahaha mimi kuna lile songi la uswahilini matola kosa la marehem basi nilikua naliimba niko busy nikashangaa maza kanikata bonge la kibao hadi nikaona nyota! Mama akasema niskie unaimba Huo wimbo tena basi walikuepo ma brother asee wakawa wananitania sana mwisho niliwauliza condom ni nn! Aseee mabronz wakanipekeka magetoni wakazitoa uvunguni kibaoooo hapo ndio nikazijua!
 
Sehemu nzuri ya kununulia condom ni pharmacy tena kama una aibu nenda mida ya saa 3 usiku au kama vipi kwenye vile vibanda vibanda wanavouza fegi wanakua nazo na wala hawana noma wasela

Hizi ndio sehemu nzuri zaidi za kununua hiyo kitu.
 
Ulichukua mmojawapo kutoka hapo pharmacy???
 
Jf bwana!!
Mimi kwa mara ya kwanza nilimkuta dada wa makamo kidogo kwenye duka la bidhaa mchanganyiko. Foleni haikatiki na muda unakwenda nikamuuliza, DADA YULE BINTI YAKO SALAMA YUPO ANILETEE MAJI YA KUNYWA??
Alinipata na kunijibu kuwa amemtuma kwa bibi yake. Nilisepa na mzigo nikasamehe.
 

Kosa la merehemu...hahahaha mkuu ulitisha sana kuimba huo wimbo kwa ujasiri
 
Aisee kwakeli nilienda wilaya tofauti umbali kidogo naninapo ishi ila niliingia phamarcy ambayo ilikuwa inauzwa na mwanaume....nikanunua changu nikasepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…