floow
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 411
- 855
Habar wakuu?
Hivi karibuni natarajia kwenda ukwen kujitambulisha... Lakini nina hofu sana sipati picha iyo siku itakuaje.
Nataka nipate uzoefu kutoka kwenu. . .kwa mlio pitia hii hatua ilikueje siku ya kwanza ulipoenda kujitambulisha, changamoto ulizo kutana nazo siku iyoo.
Nimekua muoga sana
Msaada ktk hilo jamani