Siku ya kwanza kuingia kazini ilikuwaje?

Hapo ndio patamu sasa.

Hivi wanaosoma Computer Science(hasa Bachelor) si huwa wanaisoma Excel kwa undani na wakauwa maguru?
Actually sijajua content ya hii course ipoje, lakini nafikiri huwa wanaconcentrate zaidi kusoma computer yenyewe. Excel ni computer application, nadhani huwa wanazisoma hizi application lakini kwa kiasi kidogo kwa hivyo usishangae kuona IT anaimaster Coding vizuri lakini Excel ikawa inamsumbua.
 
Kabla hujapata nafasi walikuwa hawaji kupata ABC za Excel?
Yaan am very pure kwenye Computer, najua tu kutype na very few things. Nkishaedit mikataba na affidavits nkaprint kaz kwisha[emoji23][emoji23][emoji23]. Nahitaji msaada mkubwa mno kabla sijatia aibu sehemu mbalimbali
 
Actually sijajua content ya hii course ipoje, lakini nafikiri huwa wanaconcentrate zaidi kusoma computer yenyewe. Excel ni computer application, nadhani huwa wanazisoma hizi application lakini kwa kiasi kidogo kwa hivyo usishangae kuona IT anaimaster Coding vizuri lakini Excel ikawa inamsumbua.
Ni sahihi mkuu, wengi hawaijui Excel na hii kitu haisemwi sana hasa umuhimu wake kwenye data analysis.

Binafsi ngoja nijaribu kujipanga nione namna gani nitaijua hii Excel
 
Yaan am very pure kwenye Computer, najua tu kutype na very few things. Nkishaedit mikataba na affidavits nkaprint kaz kwisha[emoji23][emoji23][emoji23]. Nahitaji msaada mkubwa mno kabla sijatia aibu sehemu mbalimbali
Hahahahaaa, wengi tumo kwenye hili kundi.

Mara paap Naot wamekuvuta na kule ishu nyingi za data analysis kuhusu ukaguzi zikawepo, Excel itakuhusu kwa asilimia kubwa.

Inabidi tujifunze kama tunavyojifunza vitu vya kawaida(kupika, kufua n.k)
 
Hakika mimi itabidi nikasome kabisa[emoji23]
 
Ila sasa kadri siku zinavyosogea mbele najikuta naipenda kaza saana na kuwahi mapemaaa
Hongera mm kuwahi ndo kulinishindaga hata kipindi Nasoma sikumbuki km niliwahi kuwahi namba licha ya kuwa nyumbni na shule Ilikuwa ni mwendo wa dakika 10🙁😂
 
Back
Top Bottom