Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,417
Nifahamishe mkuu huwa kwa jadi yako ya mila mnazikwaje??Kifo ni tukio kama matukio mengine, mimi nasubiria kifo kama ninavyopokea mwaka mpya au X - mas. Nizikwe mahali popote kwa gharama ndogo, nizikwe kwa jadi yangu ya mila sio hizi dini zilizokuja kwa meli.
Kwenye huu uzi nimeona comment nyingi ambazo walio-comment wanaonekana kuwa si wajuzi wa mamboNi kweli kila mmoja wetu atakufa na kwa mtu yeyote aliye makini ni lazima siku moja utajaribu kuimagine siku hiyo ya kifo chako itakuwaje na huku nyuma mambo yatabaki vipi? Lakini ni ukweli usiopingika kwamba marehemu huwa hana mamlaka na mwili wake bali wafiwa ndio wenye mamlaka, hivyo kuna mambo unaweza kuagiza lakini yasitekelezwe!
Mfano: Huwezizuia watu wasikulilie pindi utakapokufa, kilio huja kutokana na hisia za huzuni pale watu wanajaribu kukumbuka katika umuhimu na uwepo wako!
Pia huweziamrisha watu watawanyike masaa 7 tu baada ya kifo chako maana huwezijua utakufa lini na utafia wapi na wakati unakufa je wale ndugu muhimu kama Mama, Baba, kaka,dada, mke, watoto watakuwa karibu nawe? Hawa ndio wataamua uzikwe wapi na uzikwe lini!
Hiyo pesa uloanza kujiwekea nashauri usiiweke bali kama unaishi katika nyumba yako mwenyewe basi tenga chumba maalum, kanunulie sanduku unalotaka kuziwa nalo na vingine vyote uhifadhi humo ili siku ya kifo chako wavichukue na kuvitumia, lakini ukiacha pesa zitachukuliwa na hazitatumika bali michango ya watu ndo hutumika kufanikisha hilo suala, kwanza siku hiyo hata mkeo tu hawezi kabisa kuwa na nguvu hata ya kuinuka kwenda huko benk, chezea kufiwa na mtu wa tegemeo kwa familia kama baba wa familia huwa si mchezo!
Unajitabiria kufa kifo kitakufuata badala ya kumuomba Mungu uishi kwa lile dhumuni lake la kutuleta duniani ili tumuabudu . tunaishi kwa imani na imeandikwa Zab 118:17 sitakufa bali nitaishi ......Muombe Mungu uishi maisha marefu na mazuri umtukuze huku ukisifu matendo yake makuu .
Siku ya KIFO Changu
5. Kaburi langu lisijengewe wala kuandikwa jina.
6. Nisivikwe nguo yoyote zaidi ya kitambaa kitakachohifadhi tupu zangu.
7. Pombe na Ulevi haviruhusiwi kwenye maziko yangu. Wala sitotaka watu wavae nguo nyeusi. What the hell na nguo nyeusi. Watu wavae mavazi waliyoyazoea na yakawaida
8. Sitopenda nyimbo zozote zipigwe wala mtu yeyote kuimba. It is the moment of silence to honor my existence.
Hayo mliyo kuwa mnaelezwa kuhusu kifo kwa akili unaona hamkupaswa kuhoji ?Kuwahoji nini ? Huo upepo unafuata Bendera ya Tanzania au ya Kenya ? Be specific
Kitu chenye maana una kipimaje ? Hivi hizi akili huwa mnazitumia kwenye nini ? Yaani unahitimisha ya kuwa maisha hayana maana kwa kifo wakati kifo ndiyo kinaonyesha maana halisi ya kifo.Maisha hayana maana kabisa. Eti unazaliwa kisha unakufa.
Kauli hii inaniumiza Kila Siku, honestly sioni hata maana ya maishaMaisha hayana maana kabisa. Eti unazaliwa kisha unakufa.
Umenichekesha sana af nmecheka ghafla npo kwny daldala duu,utarudi tu Mungu ni mkuuWanichome kama Wahindi nione siku ya mwisho nitaludije
nimeshindwa kwenda kumuosha mzee huko mortuary,nilichoweza ni kumtoa kwenye fridge basi,nimetoka nje nakutana na huu uzi. Kifo cha kisenge kinomaSiku mzee wangu alipofariki. Wakati wa kwenda kuchukua mwili niliingia monchwari kwenda kusaini. Pembeni kulikua na meza mbili juu wamelazwa maiti nadhan walikua wanataka kuwasafisha. Niliwaangalia kwa kweri nilinyong'onyea sana. Kifo kinatisha hata kukiongelea
Si ndio nikasema comment nyingi zinaonyesha namna ambavyo watoaji wa comment hizo wasivyo waelewa wa mamboSasa ukifa halafu shemeji akaolewa na mwanaume mwingine, na mauti yakamkuta huko... Unadhani mumewe atakubali mkewe azikwe kwenye 'kitanda' chako..?!
Tujikite kwenye Hoja ya 'Kiinglishi' chako chenye Tege😛Inabidi nicheke kwanza. Usikute unae comment hata kuandika mistari mitatu kwa kutumia English hujui.
Kwa bahati mbaya hata kiswahili hujui, katika kiswahili hakuna neno kiinglishi LoL [emoji23]
Hayo mliyo kuwa mnaelezwa kuhusu kifo kwa akili unaona hamkupaswa kuhoji ?
Pili, ama kuhusu bendera na kufata upepo,ulichokiandika hapa kimeonyesha ni kwa namna gani ulivyo kilaza ndiyo hata kuhoji uwezo hukuwa nao. Ni bendera ni bendera yoyote na upepo ni upepo wowote, yaani jambo la ujumla unaliza kwa jambo khasa ? Nyinyi wa kupigwa makofi kabisa kwa ujinga mlio nao.
Ni kukubaliana nacho hamna namna...ila maiti inatisha na kutukumbusha madhumuni ya sisi kuishi hapa duniani kwa kila mwanadamu,kwa Mara ya kwanza nilikaa chini na kutafakari kwa kina kabisaaa dhumuni La sisi kuishi duniani baada ya kuanza kuosha maiti za watu wangu wa karibu ambao ni marehemu,inaogopesha mno na pia kukurudisha ktk tafakuri Kali juu ya maisha ya duniani kama utakuwa ni timamu akilini kwako...
kifo kipo na hakikwepeki, ingawaje akili zetu hatujazilazimisha kukubali kwamba hii dunia si yetu na kinachofany mwanadam asikubali kifo ni ile hali ya kusahau tu, mtu anakumbuka mambo ya kifo pale panapotokea msiba tu au anapoona mada za kifo kama hapa laiti tungelikuwa tunawaza kifo kla dakika basi uenda akili zetu zingezoea kuwa kifo ni kitu cha kawaida.
Mm insha Allah namuomba Mwenyezi Mungu anichukue akiwa radhi nami (Mwsho mwema) , pili mazishi yangu yafanywe kwa taratibu za dini yangu ya kiislamu, tatu kama ntaaacha watoto basi waniombee dua kwani amali zangu ztakuwa zmekatika isipokuwa wao wanaweza nifaa kwa kuniombea dua.
"Yaa Rabb tujaalie mapenzi ya kufanya matendo mazuri yanayokuridhisha wewe ,tujaalie tuwe ni wenye kutoa sadaka ambazo zitatufaa baada ya kufa kwetu, tujaalie vizazi vilivyovyema vitakavyokuwa msaada kwetu baada ya vifo vyetu."
Tujikite kwenye Hoja ya 'Kiinglishi' chako chenye Tege😛
nimeshindwa kwenda kumuosha mzee huko mortuary,nilichoweza ni kumtoa kwenye fridge basi,nimetoka nje nakutana na huu uzi. Kifo cha kisenge kinoma