Nimeshapoa kabisa bae nimeandaa moyo kwa mapenzi mapyaPole Bae.
Mi nilipiga party binafsi niliruka debe nikagonga ugimbi saaafi, nilikua na celebrate freedom at last, free to do whatever i want, bila kuhofia kumuudhi mtuAisee ilee siku napokea msg toka kwa shemeji yenu tuachane baada ya kusumbuana kwa muda mrefu Sana nilionaa Kama Gizaa hivii afuu nkataka kudondokaa ikabdi nikaee kitandanii Kwanzaa...! Yale maumivu Mungu ndo anajua..
Ulikuwa na hali gani siku umeachana na mpenzi wako?????
Duh wataofuata baada ya jamaa wataisomaSikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena
Mi napenda niwe loyal kwa demu wangu wala sihangaiki na mademu wa nje, ila tukiachana pia hainiumi maana nachukulia poa tu, if it doesnt work now it wont work in the future, period! And sisi sote ni humans, tuna mambo mengi ya kufanya kuliko kukaa na kutumia mda wangu kuwaza vitu visivyoleta effect kwa wakati huo.Ilikuwa ndo first love kipindi hicho ninae mmoja tuu...!! Kujikutaa loyal khaaaa nlinyooshwa
Hawaisomi nawaambia tu ukweli siwezi kudate. Sitaki kuumiza MTU kisa niliumizwa. Nitakaempenda tena nitampa mapenzi yote wala sifikirii kuumiza mtuDuh wataofuata baada ya jamaa wataisoma
Uko vizuri mkuu, kila binadam ana madhaifu yake, ila pale unapokuwa free kuengage na hizo feelings unaengage nazo tu, when u are not ready it wont work kwasababu utakuwa unajidhulumu mwenyeweHawaisomi nawaambia tu ukweli siwezi kudate. Sitaki kuumiza MTU kisa niliumizwa. Nitakaempenda tena nitampa mapenzi yote wala sifikirii kuumiza mtu
Eeeh. Mimi siwezi kuidhulumu nafasi kwa kweli.Uko vizuri mkuu, kila binadam ana madhaifu yake, ila pale unapokuwa free kuengage na hizo feelings unaengage nazo tu, when u are not ready it wont work kwasababu utakuwa unajidhulumu mwenyewe
Hawakujulii tu wanatakiwa wajue kujidhalilisha ,maana njia yako inahitaji mtu commited,miamba ya hivi inawezekanikaHawaisomi nawaambia tu ukweli siwezi kudate. Sitaki kuumiza MTU kisa niliumizwa. Nitakaempenda tena nitampa mapenzi yote wala sifikirii kuumiza mtu
Hata asipokua committed Mimi nikimpenda atanipenda. Tatizo langu kubwa sio MTU wa kunipend ni MTU wa Mimi kumpendaHawakujulii tu wanatakiwa wajue kujidhalilisha ,maana njia yako inahitaji mtu commited,miamba ya hivi inawezekanika
Hapa nimekuelewa sana ,ndo maana kupoteza muda na mioyo ya wanawake ni Kama kujiingiza kwenye kamali kwa uzoefu wangu 80per ya wanawake mahusiano hawajawapenda wenzi ni upweke na uselfish ,wanaume wa desgn yako tupo tatizo sisi hatupewi mzigo tukijaribu kusema hatuwezi date ,so tunadanganya tukisha onja msaada ni kuacha taratibu bila kuumizaHata asipokua committed Mimi nikimpenda atanipenda. Tatizo langu kubwa sio MTU wa kunipend ni MTU wa Mimi kumpenda
Naomba kuuliza hivi akija kuomba msamaha wa zamani unaweza kumrejea? Sababu ya kukuuliza hili suali kuna ex-wangu wa zamani nimerejeana nae ila naona hatabirikia leo anataka kesho hataki.Nimeshapoa kabisa bae nimeandaa moyo kwa mapenzi mapya
Ulimkosea nini?Sikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena
Huyu rafiki yako ndio yule ulieleta uzi kuwa mama yake alikuja lakini hakukuambia, ukaamua kuuvunja urafiki nae?.Mimi hakuwa mpenzi ila alikuwa best friend. Sikujua kuwa tulikuwa na competition kati yetu. Kila nikichomfanyia alinichukulia for granted. Siku nilipoacha kupokea simu simu zake na kujibu text zake aliwatafuta mpaka ndugu sanguine waongee na mimi. Niliamua basi
Basi ngoja nijipange baeNimeshapoa kabisa bae nimeandaa moyo kwa mapenzi mapya