Siku ya akili duniani

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
watu wenye ugonjwa wa 'sonona' ni wengi sana.

Watu hao, hupendelea kula mirungi, kuvuta bangi na kunywa pombe sana.

Kama unaonja yeyote niliyoyataja hapo juu, unafahamu fika bora uanze kuhudhuria klinik ya akili.

Watu hawa huwa kwenye hatari zaidi ya kujidhuru pale wanapoendesha vyombo vya moto.

Hivi, wenye akili timamu tuko wangapi?

Siku ya akili njema, Bishanga itunze akili yako.
 
Last edited by a moderator:
Kongosho naomba unijuze kwanza.
Ina maana hata yule ambae hunywa pombe sana pasipo kuvuta bhangi au kula mirungi lakini wanaufahamu wa akili pale waendeshapo vyombo vya moto,
Nao watahitaji kuhudhuria kliniki?
 
Last edited by a moderator:
madame b, natamani ningekuambia vinginevyo ila si maneno yangu.
Ni maneno ya wataalamu wa afya.

Yeyote atumiaye ama kimojawapo, ama vyote, basi sonona i juu yake.

Kongosho naomba unijuze kwanza.
Ina maana hata yule ambae hunywa pombe sana pasipo kuvuta bhangi au kula mirungi lakini wanaufahamu wa akili pale waendeshapo vyombo vya moto,
Nao watahitaji kuhudhuria kliniki?
 
Last edited by a moderator:
Na 'sonona' ikikuzidi tu,unageuka kichaa..unaongea peke yako vitu havina kichwa wala miguu...
 
Hivi hakunaga siku ya sisi wenye
vipara?
Kama haipo tutaitafuta haki yetu , hata kwa kuwapiga kipara hao wateuzi wa hizo siku.
 
DR. Kongosho ahsante kwa taarifa, ila nadhani wote tunaumwa huo ugonjwa sijui unaitwa nini tena vile.
 
Last edited by a moderator:
Weitaa! lete tusker nyingine please!


Tatizo la hawa wanaojiita wataalamu huwa waongo sana,hapo kaka endeleza ze lagaz zako kaka,mi walishaniambia eti ukinywa Fragile usijaribu kunywa pombe ya aina yoyote basi kutoka kunywa tu nikaelekea baa na mpaka leo nadunda tu ila wengine wasijariu hii..
 
Kongosho naomba unijuze kwanza.
Ina maana hata yule ambae hunywa pombe sana pasipo kuvuta bhangi au kula mirungi lakini wanaufahamu wa akili pale waendeshapo vyombo vya moto,
Nao watahitaji kuhudhuria kliniki?
mbona umeuliza hivi,wewe ni alcoholic au ni mnywaji tu?just a swali
 
Back
Top Bottom