Siku ya 5 tangu nimeomba namba yake amenitumia ujumbe huu

Anakuwashia green light pita nae! To defend ur manhood asije akakuona joka la kibisa!
 
SASA SI NDO MUDA WA KUJIFANYA ULIBANWA SANA YANI AKUSAMEHE TU TENAKAMA VIPI MUONANE...HAHAHA UKAGEGEDE WEWE
 
Anakuwashia green light pita nae! To defend ur manhood asije akakuona joka la kibisa!
Hizi akili nazo, kwa hiyo ili aonekane kidume ni lazima apite nae? Hivi mdada wa aina hii si bora ukaonekana 'joka la kibisa'?
 
Asa na wewe umechukua namba ya watu ukapiga kimya!? Mtu akiomba namba barabarani hua tunasubiri kupigiwa bwana. Kama sitaki kupigiwa basi sikupi namba
 
Wooote mliouliza swali Hili.... Mnatakiwa muendelee kula hayo matango pori....... Mwenzenu anajitafutia Kiki nyie mnakuja na viswali vyenu uchwara........ Ebooo
 
View attachment 461826
Nilikutana nae barabarani nikavutiwa nikaomba namba nikawa katika process za moja ya mbinu zangu za law of attraction (am not in needy sana nilijifanya), nimechoka sana asubuhi nilikutana na huu ujumbe,nimeishiwa pose kiukweli
Sasa situation kama hii wataalamu wenzangu ulipowahi kukutana nayo ulii solve vipi
Mtakuja tongoza majini nyie, shauri yako
 
View attachment 461826
Nilikutana nae barabarani nikavutiwa nikaomba namba nikawa katika process za moja ya mbinu zangu za law of attraction (am not in needy sana nilijifanya), nimechoka sana asubuhi nilikutana na huu ujumbe,nimeishiwa pose kiukweli
Sasa situation kama hii wataalamu wenzangu ulipowahi kukutana nayo ulii solve vipi
Man law of attraction naitumia sana. Ila tatizo si kwa wanawake wote itafanya kazi.
Japo inafanya lazi lwa majority.... lakin wale wa mwendo kasi... itabid uapply law nyingine...
 
Back
Top Bottom