Nilifikia mitaa ya mianzini, nikawakuta machalii wamepiga boshoro,jeans ya kubana, shati kubwa dog dog style na ndula kuubwa wengine buti kuubwa oversize, kiharaka haraka unaweza zani ni vibaka, kumbe ni machalii wa pori wanapeleka watalii mbugani na klm. Bwana bwana wee, mmoja nilipokwenda kwake ,kwanza ule mjengo tu nilizima fegi arifu, halafu sasa,huyo mtoto aliyekuja kufungua geti utafikiri anaogea asali na alishushwa kama wahai/ aya. Wife mkali balaa, mutoto ya kimbulu. Ila ukikutana nao road unaweza fikiri wapiga ngeta kule mbagala