Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,512
- 44,625
Mimi Arusha niliona kama nipo Gongo la Mboto hivi. Eti ndani ya dakika 5 nimeumaliza mji wote!
Hahaha ila wenyewe wakikuhadithia sasa, uongo mwingi sana, utasikia Geneva ya Africa!
Machalii wa Arusha mnazingua asee, Arusha ni ya kawaida sana!
Hahaha ila wenyewe wakikuhadithia sasa, uongo mwingi sana, utasikia Geneva ya Africa!
Machalii wa Arusha mnazingua asee, Arusha ni ya kawaida sana!
Mimi jijini Mwanza nilipapenda hali ya hewa ni nzuri na ni wakarimu sana watu wa kanda hii.
Kilicho ni boa ni ushamba wa wakazi wa hapa , nilishangaa sana mji mkubwa kama huu kuwa na idadi kubwa wa washamba kiasi hiki.
Yaani washamba kila kitu kuanzia mavazi,mawazo, lifestyle
Je wewe ulipaonaje?