Siku uliyofika Jijini Arusha, Jijini Dar es Salaam au Jijini Mwanza kwa mara ya kwanza ulipaonaje?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,501
44,611
Mimi Arusha niliona kama nipo Gongo la Mboto hivi. Eti ndani ya dakika 5 nimeumaliza mji wote!

Hahaha ila wenyewe wakikuhadithia sasa, uongo mwingi sana, utasikia Geneva ya Africa!

Machalii wa Arusha mnazingua asee, Arusha ni ya kawaida sana!

Mimi jijini Mwanza nilipapenda hali ya hewa ni nzuri na ni wakarimu sana watu wa kanda hii.
Kilicho ni boa ni ushamba wa wakazi wa hapa , nilishangaa sana mji mkubwa kama huu kuwa na idadi kubwa wa washamba kiasi hiki.
Yaani washamba kila kitu kuanzia mavazi,mawazo, lifestyle
Je wewe ulipaonaje?
 
Nilifikia mitaa ya mianzini, nikawakuta machalii wamepiga boshoro,jeans ya kubana, shati kubwa dog dog style na ndula kuubwa wengine buti kuubwa oversize, kiharaka haraka unaweza zani ni vibaka, kumbe ni machalii wa pori wanapeleka watalii mbugani na klm. Bwana bwana wee, mmoja nilipokwenda kwake ,kwanza ule mjengo tu nilizima fegi arifu, halafu sasa,huyo mtoto aliyekuja kufungua geti utafikiri anaogea asali na alishushwa kama wahai/ aya. Wife mkali balaa, mutoto ya kimbulu. Ila ukikutana nao road unaweza fikiri wapiga ngeta kule mbagala
 
First time nakanyaga A town,mjini city centre sikuamini,ilikuwa jioni flani,nikajisemea labda kwakuwa jioni ngoja pakuche,asubuhi nikapata wasaa wa kutembea hapa na pale,sio jiji baya,ila za kuambiwa changanya na zako...
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom