Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,802
- 38,848
Nani aliua watu?Lakini haui watu,Wala kuteka watu!
Nani aliua watu?Lakini haui watu,Wala kuteka watu!
mungu wako!Nani aliua watu?
Sasa we usiependa kulamba asali( kuwa na maisha matamu na ya amani, ndo muhaini mnaoitaji kufutwa hili Nchi ibakie na wazalendo tu.Kwanini kupoteza watu? Sheria zipo hadi za uhaini,
Mwenye kosa afikishwe mahakamani, akipatikana na hatia aadhibiwe kwa mujibu wa sheria,
Siku mtu wako wa karibu akiokotwa kwenye kiroba, utakumbuka huu uovu unaoutetea hapa,.
Nb, Wanapotezwa wanahatarisha usalama wa walamba asali sio wa nchi
KWA hio mnamshauri mama aue MAWAZO kwa Risasi!!?kuna watu hata mfanyaje hawaoni utawasaidiaje na wanaharibu mitzamo ya watu wengine
hakikaJiwe aliwaachia makovu sana nyie wapumbavu!
Yani kila uzi lazima atajwe!
Ok.. Hivi cha kujivunia kwenye huu utawala wa Samia ni kipi?
hakikaSasa we usiependa kulamba asali( kuwa na maisha matamu na ya amani, ndo muhaini mnaoitaji kufutwa hili Nchi ibakie na wazalendo tu.
Ameua masikini wengi wajawazito waliofia njiani kwa ubovu wa miundombinu ameua masikini waliokosa huduma Bora za afya ametesa maelfu ya wananchi kwa tozo za hovyo bibi masikini aliyepo kijijini ulimtumia mwanae mgonjwa fedha anatozwa kodi kama mfanyabiashara! Ametesa maelfu ya wamachinga n.k itoshe kusema HAFAI!Lakini haui watu,Wala kuteka watu!
Unashabikia watu kufutwa? Utaishi milele na huo uzalendo wako?Sasa we usiependa kulamba asali( kuwa na maisha matamu na ya amani, ndo muhaini mnaoitaji kufutwa hili Nchi ibakie na wazalendo tu.
Ndio mnavyojidanganya.sisi tinamuachia Mungu.maana mmekataza mikutano ya siasaHao sasa hivi ni Nyuki wa mashineni
Kunywa maji mwanangu! UsipanicUnashabikia watu kufutwa? Utaishi milele na huo uzalendo wako?
Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu unaweza kufa kabla ya kuwapoteza hao unaofurahia wakipotea,
Tumia hekima kwenye majibu yako, wewe huna uwezo wa kuongeza hata ukucha mmoja kwenye vidole vyako,
Uhai ni wa Mwenyezi Mungu uheshimiwe
Hivi Kuna Nchi ambayo imeendelea bila kodi? tulipe Kodi hili tuache kuwa Nchi tegemezi,Ameua masikini wengi wajawazito waliofia njiani kwa ubovu wa miundombinu ameua masikini waliokosa huduma Bora za afya ametesa maelfu ya wananchi kwa tozo za hovyo bibi masikini aliyepo kijijini ulimtumia mwanae mgonjwa fedha anatozwa kodi kama mfanyabiashara! Ametesa maelfu ya wamachinga n.k itoshe kusema HAFAI!
sawaNdio mnavyojidanganya.sisi tinamuachia Mungu.maana mmekataza mikutano ya siasa
lakini kuna taaratibu za kufuatwaKatiba mpya siyo ombi ni lazima ije kama unadhani nchi hii ni ya wachache lazima ukwazike
Ndio maana wewe sio RaisHabari JF,
Unajua uongozi ni mgumu sana sababu kubwa ni kwamba unaongoza mamilioni ya watu wenye akili na mitizamo Tofauti.
Kupitia mazingira hayo ndio tunaona viongozi wanaenda mbali na kufanya maamuzi magumu ambayo yanampa taswira mbaya.
Hivi mfano ukiwa Rais wa Tanzania mtu kama huyu utamfanyaje?
1. Umeingia tu madaraka una miezi 3 kiongozi wa Chama Chama Upinzani ana hamashisha watu waingie mitaani wadai katiba mpya
2. Umeongeza mishahara kwa watumishi kulingana na hali ya Uchumi wa nchi, mtu anaandaa watu wawe na Mgomo baridi makazini
3. Unatengeneza mazingira mazingira mazuri ya kupata pesa kutoka nje, Mtu anapiga propaganda huko nje kwamba wale watu sio wa kuwapa pesa
4. Unahamasisha watu walipe kodi na Tozo kwa ajiri ya maendeleo mtu yuko bize mitaani na mitandaoni kupinga zoezi hilo lisifanikiwe
5. Uko bize unapambana na Changamoto za uongozi Mtu yuko bize mitandaoni ana andika mambo machafu na kukutukana mitandaoni mbele ya watu unao waongoza
6. Unapambana na changamoto za Uongozi mtu yuko bize kwenye Chama kumobilize wanachama wakutoe madarakani
7. Unajitahidi kuongoza Nchi pamoja na changamoto zake Mtu yuko bize kupiga propaganda Chafu uonekane hufanyi kitu.
Wana JF mtu huyu utamfanyaje? Maana hiki ndio chanzo kikubwa cha viongozi wengi kuonekana wabaya Duniani.
Binafsi mtu wa namna hii siwezi mvumilia hata kidogo na ntapoteza watu wachache kwa ajili ya maendeleo ya watu wangu.
😂😂😂😂Nampa ubalozi Afghanistan