Gari linaenda eneo la tukio bila kuwa na maji, alafu kesho wanasingizia kariakoo kuna tatizo la miundombinu.
Nani kawaambia gari zipaki bila kuwa na maji?.
Wenzetu wamefikia kwenye teknolojia kama hii hapa 👇🏾, sisi tusubiri sana.
View attachment 1850889
Majanga ya moto hayatakwisha, ila tutakuwa angalau tumesogea hatua moja mbele. Kikubwa ni kwamba wajenzi wa majengo ya kisasa wanatakiwa kuweka mifumo ya kuzimia moto kwenye kila jengo (water sprinklers). Hii itasaidia juhusi za mwanzo za kuzima moto automatically kabla zimamoto hawajafika kuanza juhudi zao. Kwa sasa, majengo mengi yana hio mifumo ya uzimaji moto.Siku tukifika hapa majanga ya moto yatakuwa kitendawili???
Sijaona lolote la maana uliloandika kwenye uzi wako.
Kwani ukimiliki hizo anti-fire drones, majanga ya moto yatakwisha na kubaki kitendawili?
Hizo drones zinatumika wakati moto tayari ulishatokea.
Njoo na hoja za msingi kuhusu njia za kuzuia majanga ya moto yasitokee na ununuzi wa drones liwe suala la nyongeza.
Anzisha uzi wako wenye mlengo wa kuzuia moto usitokee.Siku tukifika hapa majanga ya moto yatakuwa kitendawili???
Sijaona lolote la maana uliloandika kwenye uzi wako.
Kwani ukimiliki hizo anti-fire drones, majanga ya moto yatakwisha na kubaki kitendawili?
Hizo drones zinatumika wakati moto tayari ulishatokea.
Njoo na hoja za msingi kuhusu njia za kuzuia majanga ya moto yasitokee na ununuzi wa drones liwe suala la nyongeza.
Tutapunguza madhara zaidSiku tukifika hapa majanga ya moto yatakuwa kitendawili?
Sijaona lolote la maana uliloandika kwenye uzi wako...
To avoid criticism say nothing, do nothing, be nothing.Anzisha uzi wako wenye mlengo wa kuzuia moto usitokee.