Siku tisini zatolewa msalaba kuondolewa

Status
Not open for further replies.
Tatizo mkiona msalaba tu,maruani yanalipuka kwa hofu!

Kuhusu miti ya xmass na nyie tafteni miti ya idd tuwe tunawawekea
 
Wivu wa kijinga..ht wewe ikifika msimu wa sikukuu zenu unaruhusiwa kutundika ubani

Sasa kusema ukweli ndio wivu? Ushawahi kuona wap kwenye mazazi ya Mtume Muhammad(s.a.w) kuna ishara za nyota kwenye ofisi za Serikali? Lakini nyie kuweka miti ya Xmass ni sawa tu? Serikali haina dini lakini tunaona na hii maana mmeshaona official kabisa kujaza MIAROBAINI maofisini.
 
Wewe ukiona msalaba sehemu unawaza nini?

Siwazi, ila najua ni moja ya mira na desturi za kirumi za miaka mingi sana ambayo inakumbatiwa na wakirsto wa sasa wakati haina uhusiano wowote na maandiko yaliyo kwenye Biblia.
 
Siwazi, ila najua ni moja ya mira na desturi za kirumi za miaka mingi sana ambayo inakumbatiwa na wakirsto wa sasa wakati haina uhusiano wowote na maandiko yaliyo kwenye Biblia.

Msalaba ni alama ya ukristo, period!
Utamaduni hubadilika, wewe ungekuwa unaishi karne za nyuma sana huenda ungekuwa sahihi, na enzi ulinazosema wewe msalaba ulikuwa haujawa popularized kiasi hiki, na usingeweza kutumika kama alama inavotumika sasa kwa sababu ingekuwa na maana kinyume na sasa (wokovu). Kwa sasa mkuu msalaba ni synonymous na ukristo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom