Siku tisini zatolewa msalaba kuondolewa

Status
Not open for further replies.

kimbwe

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
707
211
Jaji Larry Burns aagiza msalaba uliopo katika mlima soledad, San Diego, Calfonia, U.S.A kuondolewa mara moja ndani ya siku 90. Hii ni baada ya kusoma hukumu yake siku ya alhamis ya wiki iliyopita, na kusema kuwa uwepo wa Msalaba huo kwenye ardhi ya umma ni kinyume na katiba ya Marekani.


The mount soledad cross
 

Kwa hiyo?
 
Msalaba sio issue hata kama ukiondolewa au ikijengwa mingine mingi.

Cha muhumu ni kuwa Je unachokifanya wewe ni kinampendeza MUNGU ALIYE MKUU ALIYEUMBA MBINGU NA DUNIA?

MUOMBE MUNGU AKUFINYANGE KIROHO NA KIMWILI KAMA APENDAVYO MUNGU ALIYE MKUU NA SIO JAJI AU ...WASIOKUWA NA KIBALI TOKA KWA MUNGU.

Maandiko yanasema Mpokee BWANA YESU ......
 
Miaka ya nyuma kulikuwa na mjadala kuwa hata taarifa ya habari ya ITV inapoanza kuna Msalaba, wakataka ITV wabadilishe.
 
Kumbe nao marekani wana mfumo kristu..... sasa kwa nini kwenye eneo la umma wanaweka alama ya kujumlisha aka msalaba...
 
Wamarekani wengi ni wapagani tu, ila msalama ni sign tu, ila ni vizuri zaidi ukakaa moyoni kuliko mlimani. poleni mnaoshabikia... uondolewe na kila mtu aweke nyumbani mwake msalaba
 

Haujaelewa tatizo unaanza mahubiri!!!!...Huo msalaba uko kwenye eneo la umma, ungekuwa kwenye eneo la kanisa kusingekuwa na tabu. Hili tatizo lipo sana kwenye nchi nyingi, mpaka shule za uma kuna misaraba madarasani, watoto wanalishwa vumbi la vipindi vya dini na kulishwa uwongo usio maana!:der::crazy:
 

Mr BAN niruhusu nimtukane huyu ....! kidogo tu! maana akili zake jumlisha ma.... yake unapata ma<i tu!
 
Samahani kidogo wanajamvi,

Hivi kule Uarabuni, kwenye ambulance zao kuna alama gani? Au kwenye red cross za huko kuna alama gani. Nauliza tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…