Jaji Larry Burns aagiza msalaba uliopo katika mlima soledad, San Diego, Calfonia, U.S.A kuondolewa mara moja ndani ya siku 90. Hii ni baada ya kusoma hukumu yake siku ya alhamis ya wiki iliyopita, na kusema kuwa uwepo wa Msalaba huo kwenye ardhi ya umma ni kinyume na katiba ya Marekani.