Siku Supermarket Ya Kwanza Ilipofunguliwa Mkoani Mbeya

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
13,866
Reaction score
23,474
14370159_10153649619151599_5953579309145469663_n.jpg
 
Hivi hadi sasa zimeshakuwa ngapi .........?????
 
Mbeya Buana msafara wa mazishi unakua na gari la matangazo mbele na MC anatangaza
 
Wamejaliwa mambo ya kupatwa.... Sasa hapo ni kupatwa kwa nini sijui!?...
 
jamani wasukumu au wangoni nimewasahau Iringa na Morogoro
 
Mbeya ni moja kati ya mikoa ninayoiheshimu sana.....
Ni mkoa ambao wananchi wake wanajielewa na wana ndoto za kupiga hatua maishani mwao....

Ni mkoa ambao watu wengi wapo smart vichwani haijalishi amepitia shule au la....

Ni mkoa ambao wananchi wake sio waoga wa kuthubutu pindi itokeapo fursa

Ni mkoa ambao wananchi wake wanajiuvunia kwao na kuwekeza kwao....nimetembea Mbeya ni miradi michache sana inayomilikiwa na mgeni.....lakini miradi mingi na biashara nyingi zinamilikiwa na wazawa......

Ni mkoa ambao sijawahi kusikia mtu anamteta wala kumsengenya mtu...zaidi kuongea mambo biasahara na upatikanaji wa pesa......

Siku moja nitakwenda kuishi Mbeya....
 
Karibu sana mkuu... huku fursa teleee... kuanzia kilimo, madini,biashara,uvuvi, usafirishaji, utalii n.k
 
Back
Top Bottom