STUKA M1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,764
- 7,361
Kwamwaka huu sidhani.. maana application process ilikuwa mda mrefu mfululizo, pia mwaka wa masomo umechelewa sana tofauti na miaka yote..Sio msemaje wa nacte but history [emoji411]inaknesha huwa wana awamu mpaka tatu 3
Sent using Jamii Forums mobile app