Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
we ulitaka tupende nini sana kwa mfano?hivi mbona wanaume mnapenda kumaaa sana?
we ulitaka tupende nini sana kwa mfano?hivi mbona wanaume mnapenda kumaaa sana?
Hahahaaaa wangekupa Kesi ya kilala na mwanamke ayewakwako bila kutoa taarifa kituoni.Ningewekwa sero ingekuwa aibu, maana pale najulikana sana,halafu niliambatana kikazi na maza mmoja family friend
Noma,mwanzo nilikuwa nimeegemea ukuta wa bafu,baadae nikakaa kwenye sofa kiunoni na taulo,nilitafuta ujasiri kwa taabu sana nilikuja kuupata dakika za mwisho mwishoNimecheka sana.kama vile nakuona ulivyokuwa ukijibu maswali yoa huku ukitabasamu kwa uoga
Hii ni kashfa kwa geshiunawapa poti wetu genye sana ndo maana wanaenda zimalizia kwa wehu mtaani.
moto ungewaka upya!!Ungewauliza mnataka nitumie condom na nyie?Au mnataka kuchukua nafasi ya Sara?
Duh bwana ako anapenda ninihivi mbona wanaume mnapenda kumaaa sana?
We ni wa DAR?Kuna wakati tumetok club tupo bwiii,kumbe nyumba kuna polisi wanatufatilia ile kupiga hatua mbili wakapuliza filimbi tusimame nilitokomea nikamwacha mwanamke wangu kesho kwend kumwekea dhamana nikawekwa lock up ilikua tabu sna
Wa mkoani hawezi kimbia,anapambana mpaka tone la mwishoWe ni wa DAR?
Hii ni moja ya sifa ya kua mwanaumehivi mbona wanaume mnapenda kumaaa sana?
Asalale selfie tena si lingekuwa balaa.hahah,, una bahati wangekulazimisha mpige selfie na bibie sarah kisha wakamtumie wife wako hiyo picha hahah... 😀😀😀
Sijakuelewa,fafanuaKwa wenye uzoefu, mngetusaidia kujua katika scenario hizo, unakuwa umekosea nini?
Wao wanajua wanalindwa na polisi, hajui mtaani tunalindana kuliko tunavyolindwa na polisi hahahahaKufanya kazi na polisi sio lazima uwe polisi
Tena we ungekuwa me ungezichapia hadi kwenye miti juu kabisahivi mbona wanaume mnapenda kumaaa sana?