Siku polisi waliponifuma na msichana gesti

Siku polisi waliponifuma na msichana gesti

Ilikuwa Julai mwaka huu nikiwa wilaya moja mkoani Shinyanga,wilaya ambayo kwa mwaka huenda mara 3-4 kutokana na shughuli zangu.

Demu niliyekutwa naye gesti ilikuwa ni mara ya pili kulala naye gest mbili tofauti yeye akiwa mwenyeji wa palepale muhudumu wa mgahawa mmoja maarufu wilayani.

Saa saba usiku saa moja baada ya kumaliza kupiga mzigo nikasikia mlango ukigongwa kwa nguvu "Fungua fungua kuna askari".....sauti ya lafudhi ya Kisukuma ya dogo muhudumu wa gesti. Roho ikalipuka paaaaah,nikijua nimefumaniwa

Nikamcheki Sarah(sio jina halisi) akiwa hana habari hana nguo hata moja anapuliziwa na feni,maana alidai joto sana anaomba niwashe feni ipigwe upepo imechemka sana.

Nikamtikisa mara mbili akaamka nikamwambia kuna polisi wanagonga,akataka kukimbilia chooni,nikachanganyikiwa zaidi. Nikamuuliza wewe si ulisema huna bwana hapa? Akajibu ndio,sijui sasa wanataka nini.

Nikamwambia avae chupi ajifunike shuka gubigubi niongee nao.

Nikavaa vesti na kujifunga taulo huku maganda ya kondomu na kondomu zilizotumika yakiwa yamezagaa sakafuni, nikawafungulia askari

Polisi wakaanza kunimaindi kuwachelewesha kwenye kazi zao. Wote walivaa kiraia haikuwa rahisi kujua kama wote ni askari. Walikuwa kama watano hivi,wawili wakazama ndani,watatu wakabaki mlangoni mlango ukiwa wazi kabisa kama tuko nje.

Nilijisikia noma sana,mkuu wenu nadhalilika!!!!!!

Baada ya kujitambulisha,na kuwatazamaza kwa makini nikawafahamu wawili na wao wakanifahamu nimefanya nao kazi Januari mwaka huu. Nikawaomba warudishe mlango ili hao walio ndani tuongee.

Wakaanza kunihoji kwamba wanahitaji kuwatambua wageni wa gesti hiyo na hawaoni jina langu kwenye daftari. Nikiwa bado na wasiwasi nikachukua daftari kuwaonyesha jina langu. Baada ya kuliona mikwara ya polisi ikapungua..........Pumzi zikashuka kumbe hakuna noma yeyote.

Kabla ya kuondoka wakataka kumtambua niliyelala naye. Kwa sababu nilishaanza kuwazoea nikawaambia "Lakini mkuu haya ni mambo binafsi"

Jamaa likanitukana unatoka zako kwenu huko unakuja kuchukua wake zetu,mwambie aamkeeeee!!Hapo sasa nusu nidondoke.

Sarah akafunua uso wake. Polisi mmoja akasema " Ahh kumbe ni wewe.....ndio mmetumia kondomu zote hizi"....Sarah akarudisha sura kwenye shuka,

Ilichukua kama nusu saa hivi askari wakamaliza mahojiano na mimi na kunishukuru kwa ushirikiano,kumbe ilikuwa ni ukaguzi wa kawaida tu.

Kwa kweli siku hiyo nilijuta sana,nikahisi nimefumwa na mke wa mtu. Ingekuweje haki ya nani
Kumbe na wewe ni askari police???
 
Mkuu case yako kama yangu sema mm yalinikuta Feb 2016 kule sikonge guest moja inaitwa Tpk sijui Tkp nmesahau jina kdg, Nilkua nimelala tena sikua na shida na dem kabisa ghafla sauti za mahaba toka chumba cha pili zikanipandishia stim ndio nikamfata mama guest nikamuuliza wapi naweza pata dem wa fasta, akaniambia subiri akashika sim yake akaniuliza unataka mnene au mwembamba bas nikatoa sifa nazohitaji akapiga sim na mzigo ukaja. Tukaelewana nakitoa pesa pamoja na commission ya mama guest. Kule chumban wakati tumemaliza match nilitaka aondoke sababu huwa sipendi kulala na wanawake nisiowajua. Basi ile anajiandaa aondoke ndio mlango ukagongwa kwa sauti ya kibabe "Fungua sisi polisi" dah roho yangu nusuru igome kufanya kazi nikajua tu huyu atakua mke wa mtu. Hapo hapo ndipo nilikumbuka kumuuliza kama ameolewa akasema ameolewa lkn mume wake yupo Sumbawanga kikazi, wakati huo polisi wanagonga huko mlangoni kwa nguvu sana. Nikamwambia vaa fasta wkt na mm nikiwa navaa. Nikawafungulia polisi wakaniambia upo chini ya ulinzi nikawauliza kwa kosa gan wakasema utalijua mbele kwa mbele. Wakaniambia toka vitambulisho vyako nikatoa wakati huo nilikua nafanya kazi kwenye kampuni fulan hiv ya ukaguzi, basi wakakagua na kucompare na nilivyoandka kwenye register ilikua sahihi, wakaniuliza na huyu nani nikasema ni mchumba wangu askari mmoja akadakia huyu si mke wa fulani. Dah nisiwachoshe ila mwishoni ilibidi waniache tu salama na yule mwanamke akaondoka zake.
 
Back
Top Bottom