Siku polisi waliponifuma na msichana gesti

Nilikuwa na tabia ya kuandika majina ya uongo siku moja nilikuwa kericho Kenya kama zari tu nikaandika jina halisi usiku wake polisi hao akasombwa jamaa mmoja dah kuanzia siku hiyo siandiki jina feki
 
Nauliza, polisi wakija kufanya hivyo, most likely ni unakuwa umefanya kosa gani? Yaan, kwa nini wanafanya hivyo.
Kwangu hakukuwa na kosa ndio maana wakaniacha. Mtihani ni pale unapokuwa umedanganya kusajiri jina kwenye daftari la wageni,au kutokuandika kabisa. Hilo ni kosa la kuficha utambulisho wako,pengine ni jambazi au mhalifu! Tofauti na hapo kama umelala na mke wa mtu,na mwenye mke kaongozana na polisi. Hakuna kosa la kisheria coz mke wa mtu hana lebo,ila ni vitisho vya kuzuru mwili na mali
 
Nimekuelewa mzee. Yamenikuta mengi ya polisi ila ya nyumba za wageni haijawahi nitokea. Ndo maana nikasema unitoe ushamba.
 
Nipo wew tu ndo sikuoni waziri wangu magembe nimemfukuza kazi
Haha, umesababisha arudi kwenye taaluma yake, sio kila academician akakimbilia uwaziri, umefanya la maana, inabidi siku nyingine ukafie kwenye fenc ili akapumzishwe segedance kabisa
 
Mtoa Mada ana kauhaya flani hivi.
Ilikuwa Julai mwaka huu nikiwa wilaya moja mkoani Shinyanga,wilaya ambayo kwa mwaka huenda mara 3-4 kutokana na shughuli zangu.

Demu niliyekutwa naye gesti ilikuwa ni mara ya pili kulala naye gest mbili tofauti yeye akiwa mwenyeji wa palepale muhudumu wa mgahawa mmoja maarufu wilayani.

Saa saba usiku saa moja baada ya kumaliza kupiga mzigo nikasikia mlango ukigongwa kwa nguvu "Fungua fungua kuna askari".....sauti ya lafudhi ya Kisukuma ya dogo muhudumu wa gesti. Roho ikalipuka paaaaah,nikijua nimefumaniwa

Nikamcheki Sarah(sio jina halisi) akiwa hana habari hana nguo hata moja anapuliziwa na feni,maana alidai joto sana anaomba niwashe feni ipigwe upepo imechemka sana.

Nikamtikisa mara mbili akaamka nikamwambia kuna polisi wanagonga,akataka kukimbilia chooni,nikachanganyikiwa zaidi. Nikamuuliza wewe si ulisema huna bwana hapa? Akajibu ndio,sijui sasa wanataka nini.

Nikamwambia avae chupi ajifunike shuka gubigubi niongee nao.

Nikavaa vesti na kujifunga taulo huku maganda ya kondomu na kondomu zilizotumika yakiwa yamezagaa sakafuni, nikawafungulia askari

Polisi wakaanza kunimaindi kuwachelewesha kwenye kazi zao. Wote walivaa kiraia haikuwa rahisi kujua kama wote ni askari. Walikuwa kama watano hivi,wawili wakazama ndani,watatu wakabaki mlangoni mlango ukiwa wazi kabisa kama tuko nje.

Nilijisikia noma sana,mkuu wenu nadhalilika!!!!!!

Baada ya kujitambulisha,na kuwatazamaza kwa makini nikawafahamu wawili na wao wakanifahamu nimefanya nao kazi Januari mwaka huu. Nikawaomba warudishe mlango ili hao walio ndani tuongee.

Wakaanza kunihoji kwamba wanahitaji kuwatambua wageni wa gesti hiyo na hawaoni jina langu kwenye daftari. Nikiwa bado na wasiwasi nikachukua daftari kuwaonyesha jina langu. Baada ya kuliona mikwara ya polisi ikapungua..........Pumzi zikashuka kumbe hakuna noma yeyote.

Kabla ya kuondoka wakataka kumtambua niliyelala naye. Kwa sababu nilishaanza kuwazoea nikawaambia "Lakini mkuu haya ni mambo binafsi"

Jamaa likanitukana unatoka zako kwenu huko unakuja kuchukua wake zetu,mwambie aamkeeeee!!Hapo sasa nusu nidondoke.

Sarah akafunua uso wake. Polisi mmoja akasema " Ahh kumbe ni wewe.....ndio mmetumia kondomu zote hizi"....Sarah akarudisha sura kwenye shuka,

Ilichukua kama nusu saa hivi askari wakamaliza mahojiano na mimi na kunishukuru kwa ushirikiano,kumbe ilikuwa ni ukaguzi wa kawaida tu.

Kwa kweli siku hiyo nilijuta sana,nikahisi nimefumwa na mke wa mtu. Ingekuweje haki ya nani
 
Huo utaratibu kuna baadhi ya wilaya wameanza sasa kukaguwa nouma sana ukiwa umeokata mzigo usioeleweke
 
hii mikasa ukiwasimulia watu huwa hawaaamini wanadhani ni chai.... mi nina mikasa mimngi sana ya namna hii.. watu huwa hawanielew kabisa.. hebu tupe mkasa mzima

Kuna wakati tumetok club tupo bwiii,kumbe nyumba kuna polisi wanatufatilia ile kupiga hatua mbili wakapuliza filimbi tusimame nilitokomea nikamwacha mwanamke wangu kesho kwend kumwekea dhamana nikawekwa lock up ilikua tabu sna
 
Hivi baadhi ya wanaume tunapokua safarini ni lazima tuopoe madem? Najiuliza hua ni nyege zinakua nyingi sana safarini? Ni kutaka tu kubadilisha ladha(ambayo kwa kweli huipati kama unatumia kinga), utamaduni wa kiafrika au kujiendekeza? Kwanini mtu hausafiri nademu/mpenzi/mkeo?
 
Ilikuwa Julai mwaka huu nikiwa wilaya moja mkoani Shinyanga,wilaya ambayo kwa mwaka huenda mara 3-4 kutokana na shughuli zangu.

Demu niliyekutwa naye gesti ilikuwa ni mara ya pili kulala naye gest mbili tofauti yeye akiwa mwenyeji wa palepale muhudumu wa mgahawa mmoja maarufu wilayani.

Saa saba usiku saa moja baada ya kumaliza kupiga mzigo nikasikia mlango ukigongwa kwa nguvu "Fungua fungua kuna askari".....sauti ya lafudhi ya Kisukuma ya dogo muhudumu wa gesti. Roho ikalipuka paaaaah,nikijua nimefumaniwa

Nikamcheki Sarah(sio jina halisi) akiwa hana habari hana nguo hata moja anapuliziwa na feni,maana alidai joto sana anaomba niwashe feni ipigwe upepo imechemka sana.

Nikamtikisa mara mbili akaamka nikamwambia kuna polisi wanagonga,akataka kukimbilia chooni,nikachanganyikiwa zaidi. Nikamuuliza wewe si ulisema huna bwana hapa? Akajibu ndio,sijui sasa wanataka nini.

Nikamwambia avae chupi ajifunike shuka gubigubi niongee nao.

Nikavaa vesti na kujifunga taulo huku maganda ya kondomu na kondomu zilizotumika yakiwa yamezagaa sakafuni, nikawafungulia askari

Polisi wakaanza kunimaindi kuwachelewesha kwenye kazi zao. Wote walivaa kiraia haikuwa rahisi kujua kama wote ni askari. Walikuwa kama watano hivi,wawili wakazama ndani,watatu wakabaki mlangoni mlango ukiwa wazi kabisa kama tuko nje.

Nilijisikia noma sana,mkuu wenu nadhalilika!!!!!!

Baada ya kujitambulisha,na kuwatazamaza kwa makini nikawafahamu wawili na wao wakanifahamu nimefanya nao kazi Januari mwaka huu. Nikawaomba warudishe mlango ili hao walio ndani tuongee.

Wakaanza kunihoji kwamba wanahitaji kuwatambua wageni wa gesti hiyo na hawaoni jina langu kwenye daftari. Nikiwa bado na wasiwasi nikachukua daftari kuwaonyesha jina langu. Baada ya kuliona mikwara ya polisi ikapungua..........Pumzi zikashuka kumbe hakuna noma yeyote.

Kabla ya kuondoka wakataka kumtambua niliyelala naye. Kwa sababu nilishaanza kuwazoea nikawaambia "Lakini mkuu haya ni mambo binafsi"

Jamaa likanitukana unatoka zako kwenu huko unakuja kuchukua wake zetu,mwambie aamkeeeee!!Hapo sasa nusu nidondoke.

Sarah akafunua uso wake. Polisi mmoja akasema " Ahh kumbe ni wewe.....ndio mmetumia kondomu zote hizi"....Sarah akarudisha sura kwenye shuka,

Ilichukua kama nusu saa hivi askari wakamaliza mahojiano na mimi na kunishukuru kwa ushirikiano,kumbe ilikuwa ni ukaguzi wa kawaida tu.

Kwa kweli siku hiyo nilijuta sana,nikahisi nimefumwa na mke wa mtu. Ingekuweje haki ya nani
Ulichemsha, Sarah angevaa nguo halafu wewe ungetoka uchi tena huku unajiamini. Ungeenda mbali zaidi wakati wanakuhoji ungekuwa unachezea mkono wako wa tembo kama vile uko mwenyewe. Niamini, Mazungumzo yangekuwa mafupi sana.
 
Back
Top Bottom