kazi kweli kweliMkuu case yako kama yangu sema mm yalinikuta Feb 2016 kule sikonge guest moja inaitwa Tpk sijui Tkp nmesahau jina kdg, Nilkua nimelala tena sikua na shida na dem kabisa ghafla sauti za mahaba toka chumba cha pili zikanipandishia stim ndio nikamfata mama guest nikamuuliza wapi naweza pata dem wa fasta, akaniambia subiri akashika sim yake akaniuliza unataka mnene au mwembamba bas nikatoa sifa nazohitaji akapiga sim na mzigo ukaja. Tukaelewana nakitoa pesa pamoja na commission ya mama guest. Kule chumban wakati tumemaliza match nilitaka aondoke sababu huwa sipendi kulala na wanawake nisiowajua. Basi ile anajiandaa aondoke ndio mlango ukagongwa kwa sauti ya kibabe "Fungua sisi polisi" dah roho yangu nusuru igome kufanya kazi nikajua tu huyu atakua mke wa mtu. Hapo hapo ndipo nilikumbuka kumuuliza kama ameolewa akasema ameolewa lkn mume wake yupo Sumbawanga kikazi, wakati huo polisi wanagonga huko mlangoni kwa nguvu sana. Nikamwambia vaa fasta wkt na mm nikiwa navaa. Nikawafungulia polisi wakaniambia upo chini ya ulinzi nikawauliza kwa kosa gan wakasema utalijua mbele kwa mbele. Wakaniambia toka vitambulisho vyako nikatoa wakati huo nilikua nafanya kazi kwenye kampuni fulan hiv ya ukaguzi, basi wakakagua na kucompare na nilivyoandka kwenye register ilikua sahihi, wakaniuliza na huyu nani nikasema ni mchumba wangu askari mmoja akadakia huyu si mke wa fulani. Dah nisiwachoshe ila mwishoni ilibidi waniache tu salama na yule mwanamke akaondoka zake.
Hahahahaha hili neno tu limenifurahisha" kumbe ni wew ndo mmetumia hizi kondom zote" kwani yeye alitakaje???Ilikuwa Julai mwaka huu nikiwa wilaya moja mkoani Shinyanga,wilaya ambayo kwa mwaka huenda mara 3-4 kutokana na shughuli zangu.
Demu niliyekutwa naye gesti ilikuwa ni mara ya pili kulala naye gest mbili tofauti yeye akiwa mwenyeji wa palepale muhudumu wa mgahawa mmoja maarufu wilayani.
Saa saba usiku saa moja baada ya kumaliza kupiga mzigo nikasikia mlango ukigongwa kwa nguvu "Fungua fungua kuna askari".....sauti ya lafudhi ya Kisukuma ya dogo muhudumu wa gesti. Roho ikalipuka paaaaah,nikijua nimefumaniwa
Nikamcheki Sarah(sio jina halisi) akiwa hana habari hana nguo hata moja anapuliziwa na feni,maana alidai joto sana anaomba niwashe feni ipigwe upepo imechemka sana.
Nikamtikisa mara mbili akaamka nikamwambia kuna polisi wanagonga,akataka kukimbilia chooni,nikachanganyikiwa zaidi. Nikamuuliza wewe si ulisema huna bwana hapa? Akajibu ndio,sijui sasa wanataka nini.
Nikamwambia avae chupi ajifunike shuka gubigubi niongee nao.
Nikavaa vesti na kujifunga taulo huku maganda ya kondomu na kondomu zilizotumika yakiwa yamezagaa sakafuni, nikawafungulia askari
Polisi wakaanza kunimaindi kuwachelewesha kwenye kazi zao. Wote walivaa kiraia haikuwa rahisi kujua kama wote ni askari. Walikuwa kama watano hivi,wawili wakazama ndani,watatu wakabaki mlangoni mlango ukiwa wazi kabisa kama tuko nje.
Nilijisikia noma sana,mkuu wenu nadhalilika!!!!!!
Baada ya kujitambulisha,na kuwatazamaza kwa makini nikawafahamu wawili na wao wakanifahamu nimefanya nao kazi Januari mwaka huu. Nikawaomba warudishe mlango ili hao walio ndani tuongee.
Wakaanza kunihoji kwamba wanahitaji kuwatambua wageni wa gesti hiyo na hawaoni jina langu kwenye daftari. Nikiwa bado na wasiwasi nikachukua daftari kuwaonyesha jina langu. Baada ya kuliona mikwara ya polisi ikapungua..........Pumzi zikashuka kumbe hakuna noma yeyote.
Kabla ya kuondoka wakataka kumtambua niliyelala naye. Kwa sababu nilishaanza kuwazoea nikawaambia "Lakini mkuu haya ni mambo binafsi"
Jamaa likanitukana unatoka zako kwenu huko unakuja kuchukua wake zetu,mwambie aamkeeeee!!Hapo sasa nusu nidondoke.
Sarah akafunua uso wake. Polisi mmoja akasema " Ahh kumbe ni wewe.....ndio mmetumia kondomu zote hizi"....Sarah akarudisha sura kwenye shuka,
Ilichukua kama nusu saa hivi askari wakamaliza mahojiano na mimi na kunishukuru kwa ushirikiano,kumbe ilikuwa ni ukaguzi wa kawaida tu.
Kwa kweli siku hiyo nilijuta sana,nikahisi nimefumwa na mke wa mtu. Ingekuweje haki ya nani
Pole, huo ndio uanaume.Ilikuwa Julai mwaka huu nikiwa wilaya moja mkoani Shinyanga,wilaya ambayo kwa mwaka huenda mara 3-4 kutokana na shughuli zangu.

hivi mbona wanaume mnapenda kumaaa sana?
Jaribu kuonja na wew utajua utam wakehivi mbona wanaume mnapenda kumaaa sana?
Haaaaa haaaaaaa hii yako ilikuwa nomaaaaaa. Halafu hawa kina mama wagest kumbe wanakuwa na namba za malayaMkuu case yako kama yangu sema mm yalinikuta Feb 2016 kule sikonge guest moja inaitwa Tpk sijui Tkp nmesahau jina kdg, Nilkua nimelala tena sikua na shida na dem kabisa ghafla sauti za mahaba toka chumba cha pili zikanipandishia stim ndio nikamfata mama guest nikamuuliza wapi naweza pata dem wa fasta, akaniambia subiri akashika sim yake akaniuliza unataka mnene au mwembamba bas nikatoa sifa nazohitaji akapiga sim na mzigo ukaja. Tukaelewana nakitoa pesa pamoja na commission ya mama guest. Kule chumban wakati tumemaliza match nilitaka aondoke sababu huwa sipendi kulala na wanawake nisiowajua. Basi ile anajiandaa aondoke ndio mlango ukagongwa kwa sauti ya kibabe "Fungua sisi polisi" dah roho yangu nusuru igome kufanya kazi nikajua tu huyu atakua mke wa mtu. Hapo hapo ndipo nilikumbuka kumuuliza kama ameolewa akasema ameolewa lkn mume wake yupo Sumbawanga kikazi, wakati huo polisi wanagonga huko mlangoni kwa nguvu sana. Nikamwambia vaa fasta wkt na mm nikiwa navaa. Nikawafungulia polisi wakaniambia upo chini ya ulinzi nikawauliza kwa kosa gan wakasema utalijua mbele kwa mbele. Wakaniambia toka vitambulisho vyako nikatoa wakati huo nilikua nafanya kazi kwenye kampuni fulan hiv ya ukaguzi, basi wakakagua na kucompare na nilivyoandka kwenye register ilikua sahihi, wakaniuliza na huyu nani nikasema ni mchumba wangu askari mmoja akadakia huyu si mke wa fulani. Dah nisiwachoshe ila mwishoni ilibidi waniache tu salama na yule mwanamke akaondoka zake.
Mchepuko ukaja kuniambia anafamiana na huyo polisi. Pale kulikuwa na ganda kama sita hivi. Nne zilizojaa mzigo mbili zilitumika nusuHahahahaha hili neno tu limenifurahisha" kumbe ni wew ndo mmetumia hizi kondom zote" kwani yeye alitakaje???
Nhc walikusamehe baada ya kuona umepga show vzri hahahahMchepuko ukaja kuniambia anafamiana na huyo polisi. Pale kulikuwa na ganda kama sita hivi. Nne zilizojaa mzigo mbili zilitumika nusu
kukimbia ni uanaume tosha maana kajiongezaHaaa nimecheka sana,ulishindwa kuonyesha uanaume wako
Ukiona hivyo huyo sio mwanaumenwa darKumbe wewe umetumia zote,hahaha noma sana
Ningewekwa sero ingekuwa aibu, maana pale najulikana sana,halafu niliambatana kikazi na maza mmoja family friendWangekuta ni demu wao ungeisoma naomba mkuu!!
ninapo kula tunda najiskia nipo heavenPale kati namendea kati na pair na mwanamke aliyefanya nifukuzwe eden.
Pale kati pale kati
kwahiyo mbele kwa mbele ikawaje mkuu?Mkuu case yako kama yangu sema mm yalinikuta Feb 2016 kule sikonge guest moja inaitwa Tpk sijui Tkp nmesahau jina kdg, Nilkua nimelala tena sikua na shida na dem kabisa ghafla sauti za mahaba toka chumba cha pili zikanipandishia stim ndio nikamfata mama guest nikamuuliza wapi naweza pata dem wa fasta, akaniambia subiri akashika sim yake akaniuliza unataka mnene au mwembamba bas nikatoa sifa nazohitaji akapiga sim na mzigo ukaja. Tukaelewana nakitoa pesa pamoja na commission ya mama guest. Kule chumban wakati tumemaliza match nilitaka aondoke sababu huwa sipendi kulala na wanawake nisiowajua. Basi ile anajiandaa aondoke ndio mlango ukagongwa kwa sauti ya kibabe "Fungua sisi polisi" dah roho yangu nusuru igome kufanya kazi nikajua tu huyu atakua mke wa mtu. Hapo hapo ndipo nilikumbuka kumuuliza kama ameolewa akasema ameolewa lkn mume wake yupo Sumbawanga kikazi, wakati huo polisi wanagonga huko mlangoni kwa nguvu sana. Nikamwambia vaa fasta wkt na mm nikiwa navaa. Nikawafungulia polisi wakaniambia upo chini ya ulinzi nikawauliza kwa kosa gan wakasema utalijua mbele kwa mbele. Wakaniambia toka vitambulisho vyako nikatoa wakati huo nilikua nafanya kazi kwenye kampuni fulan hiv ya ukaguzi, basi wakakagua na kucompare na nilivyoandka kwenye register ilikua sahihi, wakaniuliza na huyu nani nikasema ni mchumba wangu askari mmoja akadakia huyu si mke wa fulani. Dah nisiwachoshe ila mwishoni ilibidi waniache tu salama na yule mwanamke akaondoka zake.
hiyo inaitwa nje moto ndani moshiMkuu umenikumhusha mbali sana ila mimi namsifu na kumpongeza sana mhudumu wa guest ambayo nililala,nakumbuka ilikua mwaka 2013 nilienda kahama kwa shughuli za biashara,nikiwa ndani na mtoto flani ivi hatari(mwenyeji wangu) mara paap Jamaa hawa hapa mida ya saa5 hapa tayari nishapiga mbili,nilianza kusikia majibishano,kuchungulia dirishani nawaona wajomba na mitutu yao,mhudumu ni mshkaji tu basi jamaa akagoma kabisa kufungua geti kubwa la nje,pamoja na vitisho vyote lakini jamaa alikaza akidai wampe barua inayowaruhusu wao kufanya ukaguzi pale guest,basi ikawa vurugu kwelikweli mwisho wa siku jamaa wakapiga biti eti "arooo tutarudi kukushughulikia "siku ile iliniudhi kwa kuniharibia mood yangu.
Kuna wakati tumetok club tupo bwiii,kumbe nyumba kuna polisi wanatufatilia ile kupiga hatua mbili wakapuliza filimbi tusimame nilitokomea nikamwacha mwanamke wangu kesho kwend kumwekea dhamana nikawekwa lock up ilikua tabu sna