Lol...kwa mtindo huu za kwako wala sizibandiki na zile zingine ngoja nizibandue ukutani kabisa.
Lol...ngoja nipeleke ulinzi wa mgambo na wamasai kwa Hus na Sweetlady machaliii wa Unga Limited ni nomaaa...Hehehehhe actually bora usafishe kabisa hiro riukuta maana nikukuta za sijui kina Hus na Sweetlady i'm telling. Na taraka ra kirafiki nakupa.
Hehehe mwenyewe huwa sipati PM
Haha jaman PM mbona mie nazichukulia poa kumbe watu wanazitumia ipasavyo.
Hahaha! Kuna watu wengine bila kuwadesea mistari hawaelewi somo, lol...Unadesa hadi mistari
tunatofautiana matumizi ya vitu, unaweza kuta wengine wanapanga kushika mitutu humu humu, wewe tumizi lako ni hilo
Tukodishie jeshi kabisa manake machalii hata FFU wamewashindwa.Lol...ngoja nipeleke ulinzi wa mgambo na wamasai kwa Hus na Sweetlady machaliii wa Unga Limited ni nomaaa...
nimeona umepiga hodi leo.
Lol...ngoja nipeleke ulinzi wa mgambo na wamasai kwa Hus na Sweetlady machaliii wa Unga Limited ni nomaaa...Hehehehhe actually bora usafishe kabisa hiro riukuta maana nikukuta za sijui kina Hus na Sweetlady i'm telling. Na taraka ra kirafiki nakupa.
Mkwe afu ujue pm zako zote nime subscribe kabisaa, nna mpango wa kuprescribe soon. Watchout!
Lol...ngoja nipeleke ulinzi wa mgambo na wamasai kwa Hus na Sweetlady machaliii wa Unga Limited ni nomaaa...
Kuna siku Hus alinitumia PM ile kuifungua ili niisome nikakuta kumbe kanitumia paja la kuku wacha nianze kujichanaTukodishie jeshi kabisa manake machalii hata FFU wamewashindwa.
Lol, alichanganya na limbwata shauri zako, wewe subiria utajipeleka mpwapwa siku sio nyingi.Kuna siku Hus alinitumia PM ile kuifungua ili niisome nikakuta kumbe kanitumia paja la kuku wacha nianze kujichana
Nitazifanya PM ziwe invizibo..loltulinde mwaya, huyu lizzy atatuharibu reception. Lol
Ukinionea mamkwe wako a.k.a mke mwenzangu nifikishie salamu zangu za dhati.tulinde mwaya, huyu lizzy atatuharibu reception. Lol
Kuna siku Hus alinitumia PM ile kuifungua ili niisome nikakuta kumbe kanitumia paja la kuku wacha nianze kujichana
Ukinionea mamkwe wako a.k.a mke mwenzangu nifikishie salamu zangu za dhati.
Khaaa! Kumbe leo asubuhi nilipokodi ndege kwenda Mpwapwa lilikuwa limbwata tayari...Lol, alichanganya na limbwata shauri zako, wewe subiria utajipeleka mpwapwa siku sio nyingi.
Paja la kuku at work lol, usisahau kumwachia na kadi ya gari...Khaaa! Kumbe leo asubuhi nilipokodi ndege kwenda Mpwapwa lilikuwa limbwata tayari...
Mwewe kaondoka nalo....na mimi nataka lile paja la mbuzi ulilosema utanitumia kwa pm.