Siku nne tu!

We are sorted. Atawezeshwa kwa kulipiwa direct

Ukishalipa nipe taarifa.

Lipa zote 57K ili kibarua kibaki kwake....

Uamuzi ni wako, ....tunaweza kugawana pasu kwa pasu au tuma invoice yote kwa Babu!

Tatizo la hawa vijana ni kushindwa kuwasiliana.... Kilichoandikwa hakimfanyi mtu akaelewa kitu gani anaombwa kufanya!

Tutaenda nao taratibu!!
 
naomba uhakika kutoka kwa king'asti kama anatakecare balance inayohitajika ili mimi nimwezeshe dogo nauli ya kupigia misele immediately.
 
Jamanii mnaopandaga zile ndegee zinaitwaaje kwelii ....class jamanii njoonii msichengee
 
naomba uhakika kutoka kwa king'asti kama anatakecare balance inayohitajika ili mimi nimwezeshe dogo nauli ya kupigia misele immediately.

Tatizo kubwa la Watanzania wengi wanaoomba msaada ni kushindwa kujitofautisha na matapeli. Ndiyo maana watu wengi tuko tayari kusaidia ila tuwe na uhakika kwamba tunatoa msaada kwa jambo ambalo tumeelezwa.

Inakera kutoa msaada wa karo halafu mtu akaenda kunywea bia!
 
ni kweli mkuu inakera sana ila ni wadogo zetu hawa lets assume kwambs tatizo lake ni kweli kama anadanganya anajitafutia laana yeye mwenyewe.

bado nasubili kauli ya King'asti kwanza otherwise nitarudi hapa kesho.

alamsiki.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu huyu dogo tulimpa conditions toka awali akashindwa kwanini hawi wazi? Tutajuaje kama kweli anashida au tapeli? Tunamtumia PM atupe full details analeta rabsha tutaaminije? Is he serious?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha unalako jambo

Binamu nikumbushee zile ndege ile sehemu ya kukaa vibopaa tu inaitwaajeee jamanii yaan leo watu kimyaa basi kila mmoja tumtumiee hata 5000 tu kwa Mpesa kwa wote hapaa tena inazidii
 
Mkuu huyu dogo tulimpa conditions toka awali akashindwa kwanini hawi wazi? Tutajuaje kama kweli anashida au tapeli? Tunamtumia PM atupe full details analeta rabsha tutaaminije? Is he serious?

Ndiyo maana tumekubaliana na uamumzi wa King'asti wa kwenda moja kwa moja kumlipia.

Kuna watu wanawaharibia wenzao, kwani wale wanaozuka na utapeli wanasababisha watu wenye shida kweli wakose msaada!

Pesa anazoomba ni kidogo sana kiasi kwamba akiweka maelezo yake yakanyooka anaweza kupata zaidi ya hizo!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huyu dogo tulimpa conditions toka awali akashindwa kwanini hawi wazi? Tutajuaje kama kweli anashida au tapeli? Tunamtumia PM atupe full details analeta rabsha tutaaminije? Is he serious?
mmhh! hapa pagumu ngoja nile bia zangu tu mambo ya msondo tuwaachie wenyewe.
 
Binamu nikumbushee zile ndege ile sehemu ya kukaa vibopaa tu inaitwaajeee jamanii yaan leo watu kimyaa basi kila mmoja tumtumiee hata 5000 tu kwa Mpesa kwa wote hapaa tena inazidii

Tatizo siyo 5000 au 1000, shida ni nani anapewa hizo pesa na kwa nini... Hakuna mtu ambaye yuko tayari kugawa pesa kwa mtu ambaye anashindwa kueleza shida yake akaeleweka!
 
Kabisa mkuu hiyo hela hata Mimi naweza kuitoa hata sasa but jamaa hayuko wazi sana sana naona ligi tu inachomoza tunaacha ya msingi
 
Last edited by a moderator:

Yule wa marekani ilikuwa wazi na kila mtu alikuwa na full details huyu anaruka ruka tu hapa tumweleweje?

Labda kama alikua na lengo la kuanzisha ligi
 
Na huyu angekuwa mtoto wa kike mijitu ungeona inavyo hangaika kusudi imnase vizuri...
 
Binamu nikumbushee zile ndege ile sehemu ya kukaa vibopaa tu inaitwaajeee jamanii yaan leo watu kimyaa basi kila mmoja tumtumiee hata 5000 tu kwa Mpesa kwa wote hapaa tena inazidii

Inaitwa first class or business class...

Binamu umelikazania mbona mleta mada hatoi ushirikiano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…