Siku niliyooabika siwezi kuisaha maishani

Siku niliyooabika siwezi kuisaha maishani

gen parton

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
642
Reaction score
412
Kisa hiki nilisimuliwa na rafiki yangu kipenzi, ntamhifadha jina kulinda heshima yake na urafiki wetu lakini pia unaweza kukumbuka na wewe ni siku gani uliyowa kuaibika maishani ili uchukulie kama changamoto kwa siku zijazo, hivyo kuweka mambo sawa ntasimulia kama mhusika, ninaitwa Ambwene Mwakiambiki (sio jina harisi) nakumbuka ilikua mwaka 1988 nilichaguliwa kujiunga shule ya wavulana Tabora au Tabora boys kama wengi walivyozoea kuiita. Nilichaguliwa kutoka shule moja mkoani mbeya. baada ya mwaka wa masomo kuanza nilijisikia uhuru wa ajabu ambao hapa kabla huku nyumbani sikuwa naupata kutokana na wazazi wangu kuwa wakali sana au siku hizi wanaita geti kali wakati bado naendelea kucrimatize mazingira ya mji huu especial pale cumpus basi ikaja issue ya wellcome form one, Kumbuka kipindi hicho ndio ile foolish age ndio ilikua imefika mahara pake na ile ni shule ya wavulana pekee hivyo ili mambo yanoge basi tulikua tunawaalika dada zetu wa Tabora girls na waliopitia shule hizi mtakumbuka kipindi kile ukiwa tbr boys ili uonekane mjanja lazima uwe na girl friend kutoka tbr girls. Basi siku ya siku ikafika wellcome form one hiyo kama kawaida tukaingia ukumbini tukaanza kujirusha mabreaker dancer kitu ambacho form one wengi tulikua hatujui ni kuwa % kubwa ya wale akina dada especial wa vidato vya juu kila mtu alikua na partiner wake upande wa pili huku boyz walikua single ni form one wa upande wa pili kama sisi,


Nakumbuka siku hiyo nilikua nimevalia jeans na bahama ukweli nilipendeza si akaja dada moja hivi black beuty kaenda hewani ni mzuri anavutia kumbe toka upande aliokua anacheza disco mle ukumbini alikua anaulizia watu wa mbeya sababu na yeye ni mwenyeji wa mbeya, hapa niweke sawa sisi watu wa mbeya huwa tunazile za upotpot kila tunapoena. Aliniambia anaitwa Brandina Mwakasala (sio jina harisi) Baada intro tukaendelea kushek disco huku nikijiona ni mwenye bahati sana demu kajileta mwenyewe.


Baada ya kama wiki hivi kupita niliona nachelewa si nikajipinda kumwandikia barua ya mapenzi na kiingireza changu hafifu cha std seven cha good morning teacher ze ze zee nyingi love u ndio msamiati uliotawala barua nzima ikamfikia brandina nikawa nasubiri majibu,



baada ya kuona majibu yanachelewa visiting day nikaibuka mpaka campus kwao na members kibao waliokua na totoz pande zile basi ile kumwita blandina akaja akiwa na mwenzake kengele ya hatari kichwani ikalia japo alianza kwa upole sana sasa dogo ndio umefanyaje?
kweli mi dada yako ananiandikia barua kama ile mara akaanza kunipa wosia soma acha kuendekeza mambo ya kijinga yaani alinichana mbaya huku mwenzake akimpa suport kumbe mwenzake ni bonge la mshakunaku si akaimwaga issue kwa masela wake wa hapa boys issue akaanza kuenea kwa kasi ya ajabu kuna masela wakaanza kunitania eti oya usione kichaka mavi yamekubana yule alikupenda kama dada tu mara kukawa kuna kikundi wanajiita CHAPUTA au chama cha wapiga puli tanzania au wagumu hawa walikua na misimamo ya kukaa mbali na wanawake. basi nilitamani nihame shule ilika ngumu, nikijifanya mgonjwa kuepuka aibu ndio issue inazungumzwa bora hata ningekuepo wangenionea aibu yaaani ilikua ni siku kadhaa za aibu mpaka nilijuta kwa kile kitendo,

niliaibika sana je wewe unaikumbuka siku iliyoaibika maishani? ichukulie kama changamoto
 
mpe pole ila mbona kawaida 2 kwa mwanaume ndo maana Tx Moshi aliimba "wanaume tumeumbwa mateso mateso kuhangaika"
 
pole sana mimi siku niliyoaibika ni siku ambayo nilimpa rafik yangu range rover ampelekee msichana mmoja alikuwa ni rafik yangu na nilikuwa nampenda sana.
sasa rafik yangu alivyopeleka akakataa na akampa rafik yangu rolls royce aniletee kwamba mim si kiwango chake.
toka siku hiyo nikaondoka bevery hills
 
Mimi bana nakumbuka wakati niko boarding skuli hizo hizo za boys tupu(sitaitaja jina).

Wakati wa likizo kipindi cha foolish age kuna mtoto fulani mtaani mzuri kweli. Kila kijana alikuwa anamfukuzia(mimi, Kaka yangu na baadhi wa washkaji). Basi bwana ikawa stori za hapa na pale lakini domo zege.

Mara kwenda kwao, kukaa sebuleni, kuangalia album, kupiga picha etc etc.

Siku za kurudi skuli zikakaribia na mzee mimi kuona ule ukaribu nikajua mtoto kazama. Siku naondoka hakuwepo kwao basi nikaacha barua nzuri kwenye bahasha na Sh 500 mbili yaani Tsh 1000.

Niko skuli kama wiki mbili hivi nikapokea barua kwanza imepigwa gundi ya karatasi(kama imechanwa hivi). Mtu mzima sikuelewa nikaifungua. Nilichokikuta...

Binti alinichana kinoma. Na vihela vyako chukua huko mshenzi wewe.... Dah sasa kumbe watu wa Posta walikuwa wamepiga zile ile.

Niliumbuka na unajua boarding ukipata barua kila mtu anakuuliza vipi bana. Nikanyong'onyea sikusema.

Niliporudi likizo nilijifungia ndani aisee. Bahati nzuri(sina uhakika) yule binti hakusema. Ila mpaka leo naogopa hata kumsogelea nikimuona.
 
Siku niliyotapika mtembele na vipande vya nguna baada ya kujisifia sana kuwa nimekula kuku choma na mvinyo wa Kiskochi...
 
Siku niliyotapika mtembele na
vipande vya nguna baada ya kujisifia sana kuwa nimekula kuku choma na
mvinyo wa Kiskochi...
hata akina dada ipo siku japo moja maishani
 
Nakumbuka siku ambayo nilikutwa namgegeda live jirani yangu(mwanafunzi) mwenzengu ambaye nilikuwa nasingizia
/nazuga namfundisha tuition

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuna shori m1 alinikimbia chumbani baada ya kuona mgegedo mkubwa na una mkono wa sweta, sasa ananitangazia mtaani kote, imekuwa ni vigumu sana mademu kunikubali, na mimi ngariba namuogopa naskia hawatumii sindano ya ganzi, sijui nifanyeje
 
pole sana mimi siku niliyoaibika ni siku ambayo nilimpa rafik yangu range rover ampelekee msichana mmoja alikuwa ni rafik yangu na nilikuwa nampenda sana.
sasa rafik yangu alivyopeleka akakataa na akampa rafik yangu rolls royce aniletee kwamba mim si kiwango chake.
toka siku hiyo nikaondoka bevery hills

Bukoba wanakusalimia sana.
 
Gogle;Kuna shori m1 alinikimbia chumbani baada ya kuona mgegedo mkubwa na una mkono wa sweta, makubwa du!
 
Mleta maada umenkumbusha mbali!2011 std4 iyo,mi na mchiz 2kafall in love kwa warembo wa2,2kapoa poa ngoja 2toe la moyon!2kachoronga barua(zle za salam sn ama baada ya salam...!,ooh nmetoke kukupenda sn..!(v2ko kwel)).Then 2kazpost kwa wapendwa we2!acha wa2tose,afu zle barua wakazpeleka kwa tcha on duty,afu tcha alvo mnoko,akazisoma parade!.huwa nkikumbka nacheka sn!!
 
Mleta maada umenkumbusha mbali!2011 std4 iyo,mi na mchiz 2kafall in love kwa warembo wa2,2kapoa poa ngoja 2toe la moyon!2kachoronga barua(zle za salam sn ama baada ya salam...!,ooh nmetoke kukupenda sn..!(v2ko kwel)).Then 2kazpost kwa wapendwa we2!acha wa2tose,afu zle barua wakazpeleka kwa tcha on duty,afu tcha alvo mnoko,akazisoma parade!.huwa nkikumbka nacheka sn!!

Mwakani utamaliza darasa la saba.
 
Duh!, mkuu unauwa, nilioga vizuri kabla sijatimba lokesheni

Kuna shori m1 alinikimbia chumbani baada ya kuona mgegedo mkubwa na una mkono wa sweta, sasa ananitangazia mtaani kote, imekuwa ni vigumu sana mademu kunikubali, na mimi ngariba namuogopa naskia hawatumii sindano ya ganzi, sijui nifanyeje

. Kumbe tatizo lako ni hili mkuu
 
Daah nakumbuka miaka kama 4 hivi na miezi 5 siku nimezama kwenye graduu benjamin sec..kulikua na mtoto mmoja hivi wa ukweli anasoma naniliu..mzeiyar nikikua namzimia daah siku hiyo nikasema ngoja leo nimtolee uvivu mzeiyar nikafanya U-FBI nikamtimbia maeneo ya kituoni..daah ile namstua manzi kimya daah mara ya pili tena daahh..manzi akaropoka ile kwa nguvu zoote "JAMAANIII STAKIIIII" eeeh ilikua balaa mzeiyar nilikua mdogo kinoooma..kumbe mshikaji wake alikua ananichora tangu ninamuanza sasa sijui alifanya vile sababu ya jamaa ake me sijui..cha ajabu kuna jamaa akawa ananipandisha mizuka..we utakubalije akifanye vile yule ni..m$l@y* tunakaa nae ______tunamjua twenzetu kama vipi..hawezi kukuzingua.....daaah nikamwambia kausha mkuu..cha ajabu j3 naenda skuli..nikakutana nae kwenye basi..nimekaa siti ya nyuma yeye mbele yangu..daah mkulu ikabidi nikune tu daah dogolasi amemuona amekua mkare..Afrika Nzima yan...ila siwezi isahau wala msahau yule mlimbwende..ouverrr..!!
 
Me nimekutana na scandal nyingi of cours ni za kupakaziwa though zinatia aibu but SIKUJISKIA AIBU LAKINI ROHO INAUMA UNTIL TODAY
 
Back
Top Bottom