Siku niliyooabika siwezi kuisaha maishani

Siku niliyooabika siwezi kuisaha maishani

Daah nakumbuka miaka kama 4 hivi na miezi 5 siku nimezama kwenye graduu benjamin sec..kulikua na mtoto mmoja hivi wa ukweli anasoma naniliu..mzeiyar nikikua namzimia daah siku hiyo nikasema ngoja leo nimtolee uvivu mzeiyar nikafanya U-FBI nikamtimbia maeneo ya kituoni..daah ile namstua manzi kimya daah mara ya pili tena daahh..manzi akaropoka ile kwa nguvu zoote "JAMAANIII STAKIIIII" eeeh ilikua balaa mzeiyar nilikua mdogo kinoooma..kumbe mshikaji wake alikua ananichora tangu ninamuanza sasa sijui alifanya vile sababu ya jamaa ake me sijui..cha ajabu kuna jamaa akawa ananipandisha mizuka..we utakubalije akifanye vile yule ni..m$l@y* tunakaa nae ______tunamjua twenzetu kama vipi..hawezi kukuzingua.....daaah nikamwambia kausha mkuu..cha ajabu j3 naenda skuli..nikakutana nae kwenye basi..nimekaa siti ya nyuma yeye mbele yangu..daah mkulu ikabidi nikune tu daah dogolasi amemuona amekua mkare..Afrika Nzima yan...ila siwezi isahau wala msahau yule mlimbwende..ouverrr..!!

Umetisha mzeiyar.
 
pole sana mimi siku niliyoaibika ni siku ambayo nilimpa rafik yangu range rover ampelekee msichana mmoja alikuwa ni rafik yangu na nilikuwa nampenda sana.
sasa rafik yangu alivyopeleka akakataa na akampa rafik yangu rolls royce aniletee kwamba mim si kiwango chake.
toka siku hiyo nikaondoka bevery hills


Haya Wakora weitu. Wape salamu zao Katerero, Bukoba.
 
Mimi bana nakumbuka wakati niko boarding skuli hizo hizo za boys tupu(sitaitaja jina).

Wakati wa likizo kipindi cha foolish age kuna mtoto fulani mtaani mzuri kweli. Kila kijana alikuwa anamfukuzia(mimi, Kaka yangu na baadhi wa washkaji). Basi bwana ikawa stori za hapa na pale lakini domo zege.

Mara kwenda kwao, kukaa sebuleni, kuangalia album, kupiga picha etc etc.

Siku za kurudi skuli zikakaribia na mzee mimi kuona ule ukaribu nikajua mtoto kazama. Siku naondoka hakuwepo kwao basi nikaacha barua nzuri kwenye bahasha na Sh 500 mbili yaani Tsh 1000.

Niko skuli kama wiki mbili hivi nikapokea barua kwanza imepigwa gundi ya karatasi(kama imechanwa hivi). Mtu mzima sikuelewa nikaifungua. Nilichokikuta...

Binti alinichana kinoma. Na vihela vyako chukua huko mshenzi wewe.... Dah sasa kumbe watu wa Posta walikuwa wamepiga zile ile.

Niliumbuka na unajua boarding ukipata barua kila mtu anakuuliza vipi bana. Nikanyong'onyea sikusema.

Niliporudi likizo nilijifungia ndani aisee. Bahati nzuri(sina uhakika) yule binti hakusema. Ila mpaka leo naogopa hata kumsogelea nikimuona.


ikikutokea ukiwa mkubwa huwezi kufadhaika.
 
Mleta maada umenkumbusha mbali!2011 std4 iyo,mi na mchiz 2kafall in love kwa warembo wa2,2kapoa poa ngoja 2toe la moyon!2kachoronga barua(zle za salam sn ama baada ya salam...!,ooh nmetoke kukupenda sn..!(v2ko kwel)).Then 2kazpost kwa wapendwa we2!acha wa2tose,afu zle barua wakazpeleka kwa tcha on duty,afu tcha alvo mnoko,akazisoma parade!.huwa nkikumbka nacheka sn!!


mwandiko mbaya , umekaa kitoto sana.
 
pole sana mimi siku niliyoaibika ni siku ambayo nilimpa rafik yangu range rover ampelekee msichana mmoja alikuwa ni rafik yangu na nilikuwa nampenda sana.
sasa rafik yangu alivyopeleka akakataa na akampa rafik yangu rolls royce aniletee kwamba mim si kiwango chake.
toka siku hiyo nikaondoka bevery hills

Iweee...!! Agandi?
 
Mleta maada umenkumbusha mbali!2011 std4 iyo,mi na mchiz 2kafall in love kwa warembo wa2,2kapoa poa ngoja 2toe la moyon!2kachoronga barua(zle za salam sn ama baada ya salam...!,ooh nmetoke kukupenda sn..!(v2ko kwel)).Then 2kazpost kwa wapendwa we2!acha wa2tose,afu zle barua wakazpeleka kwa tcha on duty,afu tcha alvo mnoko,akazisoma parade!.huwa nkikumbka nacheka sn!!

He! makubwa, yaani 2011 ndio mbaliyako!
Nakushauri uhamie fb
 
Mleta maada umenkumbusha mbali!2011 std4 iyo,mi na mchiz 2kafall in love kwa warembo wa2,2kapoa poa ngoja 2toe la moyon!2kachoronga barua(zle za salam sn ama baada ya salam...!,ooh nmetoke kukupenda sn..!(v2ko kwel)).Then 2kazpost kwa wapendwa we2!acha wa2tose,afu zle barua wakazpeleka kwa tcha on duty,afu tcha alvo mnoko,akazisoma parade!.huwa nkikumbka nacheka sn!!
mwe! standard 4 unafall in love!!!!!!! au unamaanisha form 4!!!?
 
Back
Top Bottom