Mtakuja kuuwana hivi hivi... kama humuamini partner wako ni bora wote kwa pamoja mkashauriana na kukubaliana kwenda kwenye kituo cha afya ku-check afya zenu. Sio kupimana kienyeji huko room mnapokutana. Ila kama unajipima wewe mwenyewe sawa tu unaweza kuwa na hivyo vipimo.[emoji3][emoji3]sasa demu alizuga kunililia huku akidai ni muongo