Siku nikipoteza Uwezo wa Kufikiri au kuwa Taahira nitahamia Chama Cha Mapinduzi

Chondechonde punguzeni ukali wa maneno,kutofautiana fikra na mitazamo usiwe mwanzo wa kutoana akili.
 
Kwa sasa najua hata nikihamia ccm sitadumu zaidi ya miezi miwili.nitatimuliwa au kutekwa na majambazi

Nimejaribu kuangalia sifa za wabunge,viongozi na mawaziri wengi wa ccm. Kwa sasa sina. Ikitokea bahati mbaya nikapata matatizo ya kufikiri naamini ntakuwa nakidhi vigezo vya kuwa kada wa CCM. nikiwaona weng ya wabunge na mawaziri wa ccm nataman niwe na akili kama zao.

Nawahusudu sana akina goodluck mlinga, akina livingstone lusinde,lucy mayenga, ally kessy. Nataman niwe na akili kama zao halafu nihamie CCM nami nile raha kama wao.

Ikitokea bahati mbaya nikapata matatizo ya kufikiri chama kitakachonifaa ni ccm naamini huko ntamalizia maisha yangu kwa raha kabisa na kupumzisha akili.

Mungu apishie mbali jambo hili. Amina.
Ngoja nkupe tu like,unalogic kubwa mno na ujumbe umeufilisha vizuri mno,sema watasoma kwa juuujuu tu
 
Kwa sasa najua hata nikihamia ccm sitadumu zaidi ya miezi miwili.nitatimuliwa au kutekwa na majambazi

Nimejaribu kuangalia sifa za wabunge,viongozi na mawaziri wengi wa ccm. Kwa sasa sina. Ikitokea bahati mbaya nikapata matatizo ya kufikiri naamini ntakuwa nakidhi vigezo vya kuwa kada wa CCM. nikiwaona weng ya wabunge na mawaziri wa ccm nataman niwe na akili kama zao.

Nawahusudu sana akina goodluck mlinga, akina livingstone lusinde,lucy mayenga, ally kessy. Nataman niwe na akili kama zao halafu nihamie CCM nami nile raha kama wao.

Ikitokea bahati mbaya nikapata matatizo ya kufikiri chama kitakachonifaa ni ccm naamini huko ntamalizia maisha yangu kwa raha kabisa na kupumzisha akili.

Mungu apishie mbali jambo hili. Amina.
Una uwezo gani wewe wa kufikiri? Si taahira tu kama wale wa Mirembe? Acha kujikweza wewe?
 
Ha ha haaaaa

Itabidi uanze kuvaa silicone wristband uandike hayo matakwa yako la sivyo utajikuta upo wodini unapewa kadi ya chama tawala. Kwa kutaka mwenyewe bila kulazimishwa, na kuomba uwapigie kura wagombea wote.

Mr. Chadema hayo maneno looo, tungekuwa tunakujua tungekufatilia kuona utafikia wapi, natumaini Magufuli 2020 haitakumaliza...lol
Haaaha mbona mimi najulikana .kwanaonifahamu watawapa taarifa humu humu.
 
Mbona CCM hawahitaji ma taahira, wanaotakiwa kupimwa akili wako Chadema. Mtu wa kwanza kusema hilo ni Mch. Msigwa pale aliposema hivi; mtu atayekuwa wa kwanza kumuunga mkono Lowasa akapimwe akili. Na Lowasa sasa hivi yuko Chadema. Hivyo wenye matatizo wako Chadema.

Wewe acha akili za kushikiwa.Makamanda chadema ni kama walijiongeza.We kubwa la maadui utacheka nalo?.Lowasa kule fisiem alikuwa ndio kubwa la maadui.Ulitegemea makamanda walifanyaje kulikabili?.Ni kulichafua tu hata kwa kashfa za MTU mwingine.Wewe mtu ameenda kukusanya tu saini za wadhamini nchi nzima ikatikisika.Je hili kubwa la maadui lingepambana na chama letu ingekuaje!? Na Msigwa alijua kabisa nchi hii inapenda watu wenye kashfa cha kufanya in kuwapiga biti wananchi atakaemuunga mkuu hili kubwa late maadui ni tahira.Hili biti hata fisiem liliwatisha wakampiga chini.Hizi nu
 
Mbona CCM hawahitaji ma taahira, wanaotakiwa kupimwa akili wako Chadema. Mtu wa kwanza kusema hilo ni Mch. Msigwa pale aliposema hivi; mtu atayekuwa wa kwanza kumuunga mkono Lowasa akapimwe akili. Na Lowasa sasa hivi yuko Chadema. Hivyo wenye matatizo wako Chadema.
Lowasa is smart
 
Mwenye akili timamu anaweza fanya haya?
f4c21abc280b6f3bc18dabacddad3939.jpg
Huyo ndiye rais!
 
Tatizo ni kuwa hata mwehu anajiona timamu.................................we unajiona timamu ,lakini wadau wanaona we ni mwehu........
 
ameandika mantiki kubwa. Mwenye akili hawezi kuwa ndiyoooooooooooo
Kupinga kila jambo ndiyo kulikofanya mnara wa babel ukashindikana kujengwa ubishi pia hata ngazi ya familia hauna maendeleo kwakuwa muda mwingi unatumika kwenye mabishano angalia familia yako ina amani na nyingine ambayo kila baba akielekeza hivi mama anapinga maendeleo yatatoka wapi hapo?
 
Hata humu wamo mkuu,wamejitokeza kwa wingi sana,wodi ziongezwe
 
Kwa sasa najua hata nikihamia ccm sitadumu zaidi ya miezi miwili.nitatimuliwa au kutekwa na majambazi

Nimejaribu kuangalia sifa za wabunge,viongozi na mawaziri wengi wa ccm. Kwa sasa sina. Ikitokea bahati mbaya nikapata matatizo ya kufikiri naamini ntakuwa nakidhi vigezo vya kuwa kada wa CCM. nikiwaona weng ya wabunge na mawaziri wa ccm nataman niwe na akili kama zao.

Nawahusudu sana akina goodluck mlinga, akina livingstone lusinde,lucy mayenga, ally kessy. Nataman niwe na akili kama zao halafu nihamie CCM nami nile raha kama wao.

Ikitokea bahati mbaya nikapata matatizo ya kufikiri chama kitakachonifaa ni ccm naamini huko ntamalizia maisha yangu kwa raha kabisa na kupumzisha akili.

Mungu apishie mbali jambo hili. Amina.

Hujasema lakini uko wapi sasa hivi Mkuu, au tuseme uko pamoja na Mheshimiwa Waziri Mkuu mstaafu mkila kuku kwa mrija tangu kutokana na ufisadi alioutangaza Kamanda Msigwa?
 
Back
Top Bottom